James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Sasa serikali ijiandae kushitakiwa unless iwe wamekubaliana huko nyuma ya pazia kila mtu achukue time yake...
watakuwa hawajampora kweli?, ni mzalendo kwa tz na si serekali ya ccm. uonevu tangu asubuhi mpaka jioni. eti hawanania ya kuendelea na kesi
 
Inasikitisha kama kweli alibambikiziwa kesi basi Mungu atawalipa waliofanya hivyo sawia na matendo yao
unahitaji uthibitisho gani zaidi ya huo kuelewa kuwa alibambikiwa kesi?
 
Sisi tunachotaka kwa mzee atushushie bei za Heineken tu mpaka 2500 basi.

Wengine wala hatuhitaji maendeleo sisi ni bia tamu asikwambie mtu bana.
Na windhoek maana yeye ndo authorized dealer
 
Watoto wake wajifunze jinsi baba yao alivyojitoa kutetea mali yake kwa kukubali kuteseka miaka 4 akiamini ktk nguvu zake..
Ili kesho wajue thamani ya mali hiyo kuisimamia....
Kijana wake yule James yuko vizuri sana tu kichwani kasimamia kila kitu toka mzee hayupo mpk karudi.
Wale mabinti zake pia wamo huku Mama nae yuko njema tu.
Hao hela haiishi ipo tu inazunguruka.
 
Pesa za Ruge zilikua na mkono wa tatu, nadhani unafahamu hilo. Huo mkono wa tatu ndio uliosema "pesa sio za serikali"
Mkuu Idimi lini tena utarudi Oslo Norway? Sasa hivi Norway siyo kama zamani no more easy life na ujanja ujanja wa social.

Nilikuzoeaga na ile avatar picha yako ya bonge la satellite maporini. 😆
 
IMG_7839.jpg

Enzi Mzee james Rugemalira akiwa kijana Na Jakaya Kikwete akiwa kijana walipata kupiga picha ya pamoja mwenye suti nyeusi ni Rugemalira
 
Mkuu Idimi lini tena utarudi Oslo Norway? Sasa hivi Norway siyo kama zamani no more easy life na ujanja ujanja wa social.

Nilikuzoeaga na ile avatar picha yako ya bonge la satellite maporini. 😆
Kaka nilipita pande hizo miaka miwili iliyopita, ila sikukaa sana. Ila next year nakuja, nadhani ugonjwa unaosumbua dunia utakuwa umepungua makali
 
Kupigwa hela ilipigwa sana tu mtandao wa huyo mzee ulikua mrefu na alikua anatembeza mlungura kuanzia juu toka enzi za BM watu wanakula tu. Msoga alipokea kijiti tu
 
Salaam Wakuu,

Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.

_MG_0435.JPG
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.

Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.

Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.

Zaidi Soma:

1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

UPDATE:

Rugemalila yupo huru!

Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai


Kama kesi imefutwa walipwe kwa gharama zote walizotumia, familia zao kupata shida na kwa kufugwa bila kuwa na kesi
 
Lile sikteta uaji la Chato lilikuwa katili sana..

Mungu akaona isiwe tabu, akatufanyia wepesi
Akakufanyia wepesi, usiseme akatufanyia wepesi! Weww vepeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji125][emoji125]
 
Kwaiyo akina Lissu na Mbowe,Zitto walivyokuwa wanatema mate bungeni, Mpaka kuweka maazimio walikuwa walikuwa wameongwa kumchafua Lugemarila na serikali ya Kikwete? Mambo haya yalianzishwa na akina Lissu,tena na ushaidi wa nyaraka,tena nakumbuka Lissu alivyopewa nafasi bungeni,alitoa hata history ya IPTL ilivyoanzishwa.wakulaumiwa ni akina Lissu na wabunge waliotoa maazimio kwa serikali Magufuri anangushiwa jumba bovu tu,yeye alitimiza maazimio ya akina Lissu
Mmeambiwa kesi haieleweki. Hivi hukumbuki pesa zingine zilichotwa kupitia stanbic bank na gari zilielekea nazo ikuru. Kesi haieleweki
 
Tatizo la magufuri ilikua kuharibu marafiki wa JK akawafanya wawe maadui zake, angeanza upya bila kusumbua watu ingekua safi kabisa
 
Back
Top Bottom