Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuhusishe Mungu kwenye jambo lolote linalohusu serikali ya TZ na watanzania wake, na hususani wakati bado chama cha kijani na watu wake wanarindima, huna hakika na chochote katika hili kuwa ni haki au uonevu.Mzee aligoma kukiri kosa ili atoe mamilioni na atoke. Mzee hakutaka kununua uhuru/haki yake. Ama kweli Mungu anasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Leo mzee yupo huru.
Hapana mkuu!Wana CHADEMA wanachopinga ni Rugemalira kufungwa hku upande wa serikali hakuna mshtakiwa hta mmoja. Tulitegemea tuone kina Muhongo, Werema, Ndulu n.k na wao wanabananishwa sio tu private sector. Walioiba pesa stanbic mbona hawakukamatwa? Vp waliokula mgao??
Same na kesi ya kina Sioi unaona wazi kuna uonevu na wao wataachiwa soon if at all bado wapo ndani.
Bottom line serikali ya JPM ilikua biased kwenye mapambano ya ufisadi. Ilikamata wafanyabiashara tu ikaacha wanasiasa. Hivi Nchambi au Lugola kesi zao za ujangili na Rushwa ziliishia wapi??
Muache uonevu
Nafikiri hata akina Mgeja wasioziamini fedha za EPA huenda wakarudishiwa ili waendeleze walioachia.Daaaaah! Apumzike mzee wa watu! Aanze kuona unafiki wa wale waliokuwa wanagawana yale mahela yake.
Finyu kwa wajinga kama wewe!Mawazo finyu sn
Mama milioni 10 hela ya mchicha kafurahia sana!
Ningekuwa "wakili msomi", walahi ningejitolea bure kabisa kumsaidia kesi ya kudai fidia huyu baba wa watu!Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.![]()
Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.
Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.
Zaidi Soma:
1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
UPDATE:
Rugemalila yupo huru!
Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
Huyu sasa ndio kidume! Saafi kabisa aliamua kufia gerezani kuliko kukubali ujingaJambo la kheri, yeye aligoma kabisa kukiri kosa na kulipa fidia?
Jobo Atasema Hivi Sheria Hiyo Tulitunga SisiNingekuwa "wakili msomi", walahi ningejitolea bure kabisa kumsaidia kesi ya kudai fidia huyu baba wa watu!
Amekuwa kama Taliban, dah. Sasa wampe kadi zake za benki tuanze jeuri mtaani.Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.![]()
Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.
Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.
Zaidi Soma:
1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
UPDATE:
Rugemalila yupo huru!
Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai
This is the point man.Mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru leo.
NOTE
MAHAKAMA NDIO ILITAKIWA ITOE UAMUZI MAPEMA KWAMBA HUYU MZEE HANA HATIA. NA SIO KUTOKA KWA KAULI YA RAIS. KWA KAULI YA MAREHEMU MAGUFULI ALIFUNGWA NA KWA KAULI YA RAIS SAMIA KAWA HURU. TANZANIA HAIWEZI KUISHI KWA KAULI ZA MTU ALIYEKO MADARAKANI. TUNAHITAJI KUBORESH MFUMO WETU WA KUTOA HAKI.