James Sinclair: A Friend or Foe?

Jamani na George Bush alikuja kufanya nini? kwa sababu raisi wa Marekani wakati anamaliza muda wake kuja na kukaa siku 3 kwenye nchi ya Africa (At all places) na kuandika check ya Dola milioni kadhaa. Nchi ilikuwa haiuzwi kweli?
 
Kwa kweli Tanzania imeishiwa viongozi! Ni vigumu kuamini haya mambo yanatendeka hapa kwetu! Mimi nadhani hata 2010 ni mbali sana! Haya maskendo sasa si ya kusingiziwa wala chuki binafsi! Hakuna kutafuta mchawi, mchawi ni yeye mwenyewe na akina Sinclar na hao wengine akina Tudor. nk. Lazima Lowasa anachekelea - tufe wote bwana!
 
Hivi Salva anaweza kuelezea ni jinsi gani Sinclair amepata taarifa hizo za mapendekezo ya Kamati?

Wamegundua kwamba kila spin doctor Salva anapofungua mdomo kuongea mistari aliyopewa na Ikulu ndio anawasha moto na kuzua maswali mengine chungu nzima. Sidhani kama spin doctor ataligusa hili wanadhani kwa kukaa kimya labda litaweza kufa kimya kimya, kumbe wanafanya makosa makubwa sana maana sasa hivi ni 2008 na siyo mwaka 47!! mpaka kieleweke! tumeshachoshwa na usanii wao kila kukicha.
 
Jamani harakati zetu zimejibiwa na Sinclair ! Kuna watu wake humu wanampasha habari.

Sasa katoa nasaha mpya kwa wasikilizaji wake kuwa kila kilichokuwa kwenye ripoti ya kamati ya Rais, kilitangazwa hadharani na viongozi wa Tanzania kabla ya kamati kuwasilisha ripoti.

 
Ashindwe na Alegeee! Atajikosha hapa lakini hakuna viongozi au wabunge walioona, na hata CNN hawakujadili ripoti yenyewe walimention tu kwamba kun areview underway. Huyu anafikiri katika YouTube age unaweza kudanganya kuhusu TV? Atafute na kutuwekea mahali CNN ilipojadili hiyo ripoti. Mwehu!
 
Does he even remember what he actually said... ? let me refresh his memory..


this is what most people have problem with.. he did not say that he watched CNN or some Network news he said he had a privilege or reviewing the "Committee's recommendations" not a recommendation, not a "a few" but it is implied that he reviewed all of them which would have made the report public!

Mr. Sinclair, I know you are reading this, please do not play us for a fool and to equate our questioning as some sort of "western" conspiracy is to insult our intelligence and capability to reason. These faculties are not reserved for the "western mind" or some rich and spoiled investor! We are very capable of forming our own opinions on issues that matter to us. So stop patronizing us under the guise of "the benevolent investor" who has some connection to saintly Mother Theresa!

What you have done is exhibit the same arrogance of corruption that we find very offensive.
 
Mr SIN_clair.

This is what you are saying,

..In any event, I would encourage all shareholders to seek out the facts and avoid succumbing to rumours and innuendo that I feel is both politically and market oriented...

But before you take us to all that way....What matters to us is this.


How dare do yuo look down the members (Tanzanians) of the commetee like that... as if they are useless and filthy! Go any where else and say those words with such an attitude but not with Tanzanias.. get to Know the history of this nation.

...along with comments from the Chamber of Mines - and have no serious issues with them
.

The best thing you could have done was come up with a clear apology and define your next move accordingly.

AND:

Why do you think they dont matter to you but ..only the President?

What's important to know, however, is that the man who will make the final decision on the recommendations is the President - not the Committee

Oh My God.... Mr SIN_CL_AIR This inconsistent with reason or logic or common sense. Its totaly absurd! dont AIR your SIN to our nation! We have a lot going on for the moment.
 
Hivi sinclair anadhani anamchezea nani? hayo maelezo meengi kuwa amefanyia mengi Tanzania ni crap.. labda ajibu what was his motivation for investment? and what did he get in return? And in his case, kwa kukaa miaka yote hiyo inamaanisha amekula mno sasa anakufuru! enough now mister!
 
Naam imani ya Watanzania waliyokuwa nayo kwake yote imepotea.
 


Jamani wana JF hii inaonekana hawa mafisadi wanogopa nguvu za JF.....shukurani sana tena kwa Kuhani Mkuu na Mzee Mwanakijiji kwa hio action plan mliofanya ningeomba wana JF tuendelee na Action tu mpaka kieleweke wakti wa kunena tu umekwisha
 
Sinclair either alidanganya pale mwanzo aliposema alikuwa na privilege au kweli alikuwa na privilege pale mwanzo na sasa ime backfire anajifanya kaona CNN.

It is clear that information on CNN is not privileged.So which is which Mr. Sinclair, are you a swindler or an inside trader?

Or did you manage to be a bit of both?
 
Halafu unajua kinachoniudhi ni kuwa sisi tumemwandikia yeye, halafu yeye anawajibu shareholders wake kuwaondoa wasiwasi ili watupuuzie.. Kwanini asitujibu sisi wenyewe Watanzania?
 
[/FONT]
Halafu unajua kinachoniudhi ni kuwa sisi tumemwandikia yeye, halafu yeye anawajibu shareholders wake kuwaondoa wasiwasi ili watupuuzie.. Kwanini asitujibu sisi wenyewe Watanzania?

Kufuatana na maelezo yake, ati sisi, akimaanisha JF si watanzania bali Kikwete ndo Watanzania



Jamani huyu jamaa anaonekana ni powerful kiasi kwamba anawanyang'anya uraia wa Tanzania Kuhani Mkuu,MKJJ na JF members
 
Halafu unajua kinachoniudhi ni kuwa sisi tumemwandikia yeye, halafu yeye anawajibu shareholders wake kuwaondoa wasiwasi ili watupuuzie.. Kwanini asitujibu sisi wenyewe Watanzania?

Kwanini usikubali yaishe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…