James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Ebu Soma hyo Aya ya 30.
 
Kama Mungu ndo aliyemuumba binadamu na binadamu ndo aliyegundua Sayansi.
HAPO WA KWANZA NI MUNGU AU SAYANSI AU BINADAMU?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana we kama allah angejua yote haya kwanini wakaja kugundua mambo haya wazungu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana we kama allah angejua yote haya kwanini wakaja kugundua mambo haya wazungu


Wazungu walisoma Qur'an ndipo wakajifanya wao ndio wamegundua kitu ambacho tayari kiliandikwa 1400 ago.
 
Ni sahihi mkuu... Hii darubini itatupa nafasi ya kusafiri planet moja kwenda nyingine pia.
Kawoli nitakupitia tuendelee tukale bata kwenye sayari ya Kepler−442b.
Itawachukua miaka 1,115 kufika huko kama rocket itaenda sawa na mwendokasi wa mwangaza 😁😁 au 25million years Kwa mwendokasi wa new Horizons probe.
 
Naomba unijibu maswali niliyo uliza.
 
Naam siyo Waislamu hizo ni dini zinazo jinasibisha na Uislamu.

Sababu za kurejea Tafsiri ili usichukue au kuelewa ndivyo sivyo,ndiyo maana Mtume ameishi maisha yake yote akiifasiri Qur'aan. Na kila alichokisema kimenukuliwa.

Swadaktaa lazima nirejee kwenye marejeo,ili kuepuka kukosea katika maana na kufanyia kazi tamko husika.
 
Nimeuliza hiyo hoja ya kusema bing bang haielezei chanzo cha ulimwengu umeipatia wapi?
Hivi huwa unasoma ninachokoandika ?

Haya ndiyo matatizo ya kukwepa maswali ninayo kuuliza,Big Bang yenyeww inaonyesha hilo. Kaisome tena.
Bing bang ndio formation ya universe sio dunia, ukisema bing bang ni mwanzo wa dunia utajikuta baadae unashindwa kuelezea galaxy zingine na nyota zimetokeaje
Ndiyo maana nataka uthibitishe ukweli wa hiyo nadharia unarukaruka na kupoteza muda.
Kwani wazo la mtu haliwezi kuwa kweli?
Hili swali lingine sasa,onyesha ukweli wa Big Bang Theory.
We mbona umenielekeza kwenye vitabu vya tafsiri ili kupata maana ya kweli iliyo zungumziwa kwenye Quran? Hivyo vitabu vineandikwa na nani?
Kijama inakiwaje unakimbia maswali na kupoteza muda ?
 
Hiyo sio hoja, na hiyo inatokana na namna ambavyo wewe umeamua kulitafsiri neno uislam
Mimi sina uwezo wa kulitafsiri tamko Uislamu zaidi ya kuchukua nukuu toka vitabuni. Hapa ndipo ilipo hoja yangu.
Ni sawa na mimi niseme neno "mtu nwenye akili" liwe na maana ni yeyote anayekubaliana na mawazo yangu, kwa maana hiyo utakubali tafsiri hiyo?
Ukijifunza lugha,utakutana na namna zinazokubaliwa zakufasiri maneno,zipo maana za neno kilugha na kiistilahi na kuna maana ya maneno kulingana na munasaba. Sasa hi hoja huwezi kuikwepa kielimu lakini,ila kama ni kiubishi ni rahisi sana.
 
Unao ushahidi kama Adamu alikuwepo miaka 6000 iliyopita na huo wa watu walianza kulima miaka 10000 iliyo pita ?
 
Kama Mungu ndo aliyemuumba binadamu na binadamu ndo aliyegundua Sayansi.
HAPO WA KWANZA NI MUNGU AU SAYANSI AU BINADAMU?
Binadamu hajaumbwa na mungu .. binadamu amezaliwa binadamu ni ametokana na evolution na natural selection.
 
Wazungu walisoma Qur'an ndipo wakajifanya wao ndio wamegundua kitu ambacho tayari kiliandikwa 1400 ago.
allah ni mtu anayependa biashara za utumwa kama yehova .. mimi siwezi amini wanachosema maana hawajui ukweli wowote
 
Sema mpunga waliomwaga kwenye hiyo telescope sio wa mchezomchezo kabisa 10billions USD, dah kweli sio poa kabisa yani jamaa mpunga wote huo wameutumia kwenye project moja tu kweli kuna watu hawanaga utani kabisa kwenye mambo yao
Yeap hata kwenye biblia kuna mahali pameandikwa ya kwamba mwanadamu atakusudia jambo nalo litatimia...I forgotten the verse... Hivyo usishangae... They're just trying to push their dreams beyond the limit
 
Unao ushahidi kama Adamu alikuwepo miaka 6000 iliyopita na huo wa watu walianza kulima miaka 10000 iliyo pita ?
Ushahidi wa adam kuishi miaka 6000 ni hesabu zimepugwa zinaweza zisiwe na ukweli ila ushahidi wa kilimo kuanza miaka 10000 iliyopita ushahidi upo . Mimi sijatokana na adam mimi nimetokana na wazee wangu walioevolve miaka 200000 iliyopita huko rift valley
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…