Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo rocket sio kampuni ya space x elon musk?JWST imebebwa na rocket iitwayo THE ARIANE 5
Chombo hiki kinasafiri kwa speed ya maili 22000 kwa lisaa. Chombo hiki kinatarajiwa kufika eneo ambalo ndo JWST itafanya shughuli zake panapoitwa L2 BAADA YA SIKU 29.
Hapana mkuu hiyo rocket imetengenezwa na shirika la ulaya, wameamua kuitumia hiyo Ariane 5 kwa sababu ipo reliable kinoma na project expensive kama hizo huwa wanatumia very reliable rockets kama hiyoHiyo rocket sio kampuni ya space x elon musk?
What if JWST meets aliens (assumed creatures) ?
Asante kwa critical question mkuu.Mkuu hii JWT inaweza kuona ndani ya black holes kuna nini
What if JWST meets aliens (assumed creatures) ?
....." katika ulimwengu wetu" na sio " dunia yetu " naomba nikurekebishe hapo kidogo paragraph ya kwanza mwishoni, isilete mkanganyiko kwa wasomaji wengine.Motivation kubwa ya NASA kuinvest kwenye huu mradi wa zaidi ya trillion 22.3 ni kwa sababu wanaamini hatupo wenyewe katika dunia yetu.
Astronaut wanarudi kwenye ancient History wanakuja kukugundua kuwa ancients civilization walikuwa na uhusiano na viumbe kutoka anga za nje.
Maya civilization ukiachilia mbali maendeleo ya technology katika dunia yao lakini walikuwa wame develov sana katika masuala ya space exploration. Thats why hatujui Maya people's waliendaga wapi wali disappear ghafla tu wakaacha kila kitu.
Motivational ya pili ni uwepo wa hii Galactic habitable zone. Eneo hili katika galaxy yetu ndo lenye characteristics zinazo support uhai hapa ndo earth ilipo. Ndani ya hili eneo kuna sayari million 300 zenye sifa kama dunia. Hii JWST inaenda kuchunguza hili eneo kutafuta uwepo wa aliens au kama kuna vitu vinavyoruhusu uhai kama maji,oxygen etc
Halafu masela tunacheki picha zao wakijitwanga self kupitia hadubini yetu..😂Vuta picha chombo kimetua tu kimefikia mikononi mwa allen wamekiteka[emoji23][emoji23]
😆😆😆😆😆😆😆 Mkuu kuna filamu kutoka marvel cinemati. Universe inaonyesha huko space kulivyo na raia wake ungeiangalia ingekupa picha ya fasihi huko kulivyo...Kama kuna serengeti lite huko walahi usiniache boss [emoji1787]
Hapana Arienne 5 inatengenezwa na kampuni ya Arianne ya nchini ufaransa.Hiyo rocket sio kampuni ya space x elon musk?
Asante mkuu kwa hoja nzuri.Watu wa dini mtuambie mapema huko nje ya dunia kilipotumwa hicho kifaa kuna kitu gani kwa mujibubwa vitabu vyenu
Msisubiri wanasayansi wahangaike halafu baadae mje na drama zenu kua "hi mbona imeelezwa kwenye kitabu chetu, hiki ni kitabu chenye habari nyingi za kisayansi"
Maana kuna watu wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za bing bang na swala la ulimwengu ku expand na ndio hoja ya kuvifanya vionekane vimeandikwa na Mungu.
Sasa je hicho kifaa kilichotumwa anga za mbali kikirudi na majibu tofauti kua sio kweli kwamba ulimwengu unatanuka mtakubali kua vitabu vyenu vilivyoandika habari za ulimwengu kutanuka vimepotosha pia?
Mkuu huo mpunga umetolewa na taasisi 3 za space exploration.Sema mpunga waliomwaga kwenye hiyo telescope sio wa mchezomchezo kabisa 10billions USD, dah kweli sio poa kabisa yani jamaa mpunga wote huo wameutumia kwenye project moja tu kweli kuna watu hawanaga utani kabisa kwenye mambo yao
Hubble iko kama 150km kama sikosei. Iko karibu sana na dunia wakati James Webb inaenda zaidi ya kilomita milioni kuzidi hata mwezi ulio umbali wa 300,000+ km. Hubble haijastaafu na hawajasema inaacha lini kazi ila Webb itapiga kazi kwa miaka 24Hio Hubble space telescope ya kwanza ilikuwa huko huko juu au chini?
Huu mradi umetumia miaka 30. SpaceX haina hata product ya miaka 10Hiyo rocket sio kampuni ya space x elon musk?