Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 278
Mshaanzahearsay.
huu ni mnara wa babeli wa siku zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanzahearsay.
huu ni mnara wa babeli wa siku zetu
Mkuu na issue ya kuona zaidi ya observable universe how far JWST can see? Je inaweza kugundua mult-universeAsante kwa critical question mkuu.
Ndiyo kama James web space telescope [emoji437] itaweza kutuletea picha na kilichomo ndani ya black hole katika galaxies mbali mbali za ulimwengu wetu.
Ni 💯% fiction ila mwandishi wa hadithi hii ameonyesha muingiliano wa maisha kati ya sayari moja na nyingine.Unasema kwamba Guardians of the Galaxy ni non fiction?
Sisi tunakwamisha na aina ya serikali tuliyoko nayo.Tuko nyuma sana, na sisi tujipange turushe hata satelite moja miaka 100 ijayo.
Ya kweli haya Mathanzua ?
Asante kaka kwa maswali konki yamenipa nafasi ya kurudi tena MASA Library nakupekua mafile niliyokuwa nayakwepa.Mkuu na issue ya kuona zaidi ya observable universe how far JWST can see?
? Je inaweza kugundua mult-universe
Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.Ya kweli haya Mathanzua ?
Watu wa dini mtuambie mapema huko nje ya dunia kilipotumwa hicho kifaa kuna kitu gani kwa mujibubwa vitabu vyenu
Msisubiri wanasayansi wahangaike halafu baadae mje na drama zenu kua "hi mbona imeelezwa kwenye kitabu chetu, hiki ni kitabu chenye habari nyingi za kisayansi"
Maana kuna watu wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za bing bang na swala la ulimwengu ku expand na ndio hoja ya kuvifanya vionekane vimeandikwa na Mungu.
Sasa je hicho kifaa kilichotumwa anga za mbali kikirudi na majibu tofauti kua sio kweli kwamba ulimwengu unatanuka mtakubali kua vitabu vyenu vilivyoandika habari za ulimwengu kutanuka vimepotosha pia?
Unamaanisha hatutakiwi kuzaana?Na mimi kila siku najiuliza mijitu duniani inashindana kuzaa na wakati tunajua wote tutakufa, sasa huu muundelezo wa kuuzaana una maana gani...
Maana wengine wanazaa na kuleta duniani viumbe ambavyo vitahangaika maisha yao yote mpaka kufa....
Aisee Darwin Theory was never appreciated ndio maana mnaletewa kila njia ya depopulation na waliojuwa haya.....
Pagani katika ubora.Watu wa dini mtuambie mapema huko nje ya dunia kilipotumwa hicho kifaa kuna kitu gani kwa mujibubwa vitabu vyenu
Msisubiri wanasayansi wahangaike halafu baadae mje na drama zenu kua "hi mbona imeelezwa kwenye kitabu chetu, hiki ni kitabu chenye habari nyingi za kisayansi"
Maana kuna watu wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za bing bang na swala la ulimwengu ku expand na ndio hoja ya kuvifanya vionekane vimeandikwa na Mungu.
Sasa je hicho kifaa kilichotumwa anga za mbali kikirudi na majibu tofauti kua sio kweli kwamba ulimwengu unatanuka mtakubali kua vitabu vyenu vilivyoandika habari za ulimwengu kutanuka vimepotosha pia?
Jibu zuri.Hawatatushangaa kwamba tuna amini kuna creator. Watatushangaa kuhusu uelewa mdogo tulionao kuhusu creator.
Kupanua matawi yetu throughout the galaxy hakuwezi kuprove kwamba Mungu hayupo. Hata hii telescope haiendi kupiga picha za kuonesha kwamba creator hayupo.
Shetani anasemaje kuhusu hizi darubini alizounda binadamu?Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.
Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyeweVipi Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
Mi sio mpaganiPagani katika ubora.
Haya wenye imani kuwa yupo MUNGU tumeitwa huku...
Watu wa dini mtuambie mapema huko nje ya dunia kilipotumwa hicho kifaa kuna kitu gani kwa mujibubwa vitabu vyenu
Msisubiri wanasayansi wahangaike halafu baadae mje na drama zenu kua "hi mbona imeelezwa kwenye kitabu chetu, hiki ni kitabu chenye habari nyingi za kisayansi"
Maana kuna watu wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za bing bang na swala la ulimwengu ku expand na ndio hoja ya kuvifanya vionekane vimeandikwa na Mungu.
Sasa je hicho kifaa kilichotumwa anga za mbali kikirudi na majibu tofauti kua sio kweli kwamba ulimwengu unatanuka mtakubali kua vitabu vyenu vilivyoandika habari za ulimwengu kutanuka vimepotosha pia?
Hahaha nawe jamaa unasema kuna habari za bing bang kwenye vitabu vya dini?Kumbuka ni maandiko ya dini husan Qur'an ndimo wanasayansi hufanya reference zao, reference zinazowapa hamasa ya kufanya tafiti wanazofanya hivi sasa, licha ya Big bang, expansion of the universe na Black hole kutajwa ndani ya Qur'an kakini pia uhai nje ya dunia yetu pia umetajwa na Allah amesema akipenda atatuunganisha au kutukutanisha na hao viumbe wengine (intelligent beings) waliopo nje ya dunia yetu.
Hivyo wanasayansi wanasoma maandiko ya Qur'an na ndipo huyafanyia kazi.
Hahaha nawe jamaa unasema kuna habari za bing bang kwenye vitabu vya dini?
Juzi kuna mwana alipost ki clip cha zile bahari zilizokutana halafu kulikua na background music ya kanyimbo kakiislamu nikabaki kucheka ina maana watu nayo hiyo wameiweka kwenyw list ya maajabu ya allah
Hebu nambie namna zilivyotajwa humo zimetajwajeSpecifically speaking, the big bang na Black hole na exterestial lives zimo ndani ya Qur'an tukufu.