James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyewe

Sasa ikitokea imesema ulimwengu hautanuki tutasemaje??

Wewe Utasemaje Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
 
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.

James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua zaidi ya miaka 10 kukamilika.

James Web Space telescope (JWST) inaenda kufanya nini?

Mission objectives
  1. JWST inaenda kuisaidia NASA kufanya uchunguzi wa chanzo cha ulimwengu huu.
  2. WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
  3. JWST inaenda kusaidia pia kuweza kujifunza namna sayari,galaxy na nyota za mbali zilivyo evolve overtime.
  4. JWST inaenda kutafuta uwepo wa viumbe vingine na uhai katika planets zilizoko katika nyota nyingine.
  5. JWST inaenda kuchungua eneo muhimu sana katika galaxy yetu linaitwa HABITABLE ZONE kuangalia uwepo wa sayari nyingine zinazo support uhai kama dunia yetu.
JWST bila ubishi ndo most advanced machine ever built by human being.
Hebu pia hizi fact hapa

1.JWST inaenda kusaidia wanasayansi kuangalia nyuma ya muda.
With the new telescope, astronomers are hoping to study the very first stars and galaxies in the universe to understand its secrets.
Jwst ni some kind of time machine.inaturudisha nyuma by vision.

2. A better understanding of our universe's history.

All images taken by Hubble reflect not only galactic systems but also a collection of the universe's history. With Hubble, scientists were able to peek into galaxies that formed 400 million years after the Big Bang.
James Webb Telescope may be able to bridge that gap and show images from 250 million years after the Big Bang, taking us closer to the starting point of our universe.

Besides just seeing galaxies, the new telescope will bring more detail to all images including spiral arms, more light, and better structure.

JWST itatupa picha ya galaxies zilizokuwa formed miaka 250 baada ya tukio la bingbang theory.

3. Infrared lighting
Hubble space telescope ilikuwa inachukua picha kupitia ultra violet (visible light)
lakini JWST iko advanced zaidi inatumia Infrared lighting. Hapa itapata picha na details za ziada zaidi katika picha husika mfano kama ita view exoplanet basi itatuletea details za ziada kama uwepo wa VIUMBE hai,maji,gravity etc.
With infrared imaging, astronomers may be able to peek into extremely old galaxies owing to a process called "redshifting" wherein light is stretched as it appears and disappears, leaving a red trail behind. With infrared, Webb will be able to capture extremely old galaxies that are currently being pushed farther away from Earth and becoming redder. That's how you look back in time!

References

Nitafurahi sana kama kuna mwenye swali atapost hapo chini nitamjibu kadiri ya taarifa nilizoko nazo.

Sasa Mkuu,
kwa kutumia computer, naweza kufuatilia jinsi hiyo Telescop inavyoondoka duniani?
Ama niendelee kusuburiri mrejesho kutoka kwako?
 
Hii dunia itafika wakati vizazi vya karne kumi zijazo watakuwa wanatushangaa sisi ni vp tuliamini Mungu ni muumba wa ulimwengu kama sisi tunavovishangaa vizazi vya karne 10 nyuma ni vipi waliamini kuwa mawe, miti na milima ndio miungu iliyowatatulia shida zao.
Kila kitu kina mwanzo wake..kama darubini hiyo haikujitokeza yenyewe tu kuna watu wenye akili walibuni...na wewe hauna tofauti kubwa na darubini au roboti lililotengenezwa maabara lakini kuna kitu umependelewa mwanadamu kuliko viumbe vyote tafuta na ujue ni kipi..pia fikiria kuhusu DNA
 
Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.

Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Mimi kama mimi safari ya kwenda mwezini 1969 hainihitaji kuamini au kutokuamini ila ni kusikia kusoma kutoka kwa hao wanaosema kwamba walienda.
Je wana ushahidi wa kwamba walienda?

Pia kusikiliza wanaopinga kwa NASA kwenda mwezini. Je hoja zao zina mashiko?

Mwisho kabisa Astronaut wa NASA walivyoenda mwezini waliweka The Apollo 15 Lunar Laser Ranging RetroReflector
The Apollo 15 Lunar Laser Ranging RetroReflector
kwa ajili ya kusaidia research mbali za mwezini kutokea duniani.

Je kama ni kweli hawakuenda mwezini ni nani alizipeleka huko?

Pia siyo USA TU WALIENDA pia RUSSIA NA CHINA WAMEFANYA SAFARI HUKO.

safari ya kwenda mwezini siyo ngumu kipindi hiki... Akili yetu kwa sasa ni kusafiri kwenda kwenye Galactic habitable zone.

Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.

Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
kwanini umefikiri swala la watu kwenda mwezini lina walakini?
 
Vipi Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
Tunaposema kwamba kinaenda kuangalia matukio ya ukimwengu yaliyotokea miaka billion 13.8 iliyopita ni kwa sababu ulimwengu unatanuka so kina detect taarifa za miaka ya kipindi hicho kwa kutumia infrared.

Kama ulimwengu ungekuwa static kisingeweza kuchukua taarifa yoyote coz zingekuwa zimesha disappear.

JE NI KWANINI ULIMWENGU UNATANUKA?
The energy from the Big Bang drove the universe's early expansion. Since then, gravity and dark energy have engaged in a cosmic tug of war. Gravity pulls galaxies closer together; dark energy pushes them apart. Whether the universe is expanding or contracting depends on which force dominates, gravity or dark energy.

magnetosphere cropped.jpeg
 
Kila kitu kina mwanzo wake..kama darubini hiyo haikujitokeza yenyewe tu kuna watu wenye akili walibuni...na wewe hauna tofauti kubwa na darubini au roboti lililotengenezwa maabara lakini kuna kitu umependelewa mwanadamu kuliko viumbe vyote tafuta na ujue ni kipi..pia fikiria kuhusu DNA
Yes, Tunataka kufahamu je bing bang ilitokea tu yenyewe bila akili ya kiumbe mwenye akili zaidi kuliko vyote katika universe? Roman Catholic kwa ukaribu kabisa wako mbele katika space exploration ili kuweza kupata jawabu ya hili swali la uwepo wa Mwenyezi Mungu.
Mfano ulimwengu wetu ni kazi ya uumbaji wa kipekee sana. Je ulijitokeza wenyewe tu through bing bang explosion?

Darubini hii inaenda kufanya uchunguzi sasa na kutuletea taarifa kutokea day ya tukio hilo kubwa miaka billion 13.5 iliyopita.

Faida ya kuliona tukio hili ni kuona source of life.
JE KUNA FAIDA YOYOTE TUKIWEZA KUONA GALAXIES ZA MWANZO ZILIVYOUNDWA?

The chemical elements of life were first produced in the first generation of stars after the Big Bang. We are here today because of them - and we want to better understand how that came to be! We have ideas, we have predictions, but we don't know. One way or another the first stars must have influenced our own history, beginning with stirring up everything and producing the other chemical elements besides hydrogen and helium. So if we really want to know where our atoms came from, and how the little planet Earth came to be capable of supporting life, we need to measure what happened at the beginning.
 
Hebu nambie namna zilivyotajwa humo zimetajwaje

In the Qur'an 51:47, Allah says; "And the heaven we built with our own power and indeed we go on EXPANDING it". [That's for expanding universe]

In the Qur'an 21:30 Allah says; " Do not unbelievers see that the heaven an the earth were closed up mass then we clove them asunder and we made from water every living thing , will they not then believe?". [That's for the big bang]

In the Qur'an 21:104 Allah says; "Remember the day when we shall roll up the heavens like the rolling of scrolls as we began the first creation so shall we repeat it, a promise binding on us that we shall certainly fulfill". [The black hole and reemergence of the universe--- repeated big bang ].

In the Qur'an 42:29 Allah says; "And among his signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures he has spread forth in both and He has the power to gether them together when He will so please". [Meeting with extraterrestrials living creatures when God so pleases].
 
In the Qur'an 42:29 Allah says; "And among his signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures he has spread firth in both and He has the power to gether them together when He will so please". [Meeting with extraterrestrials living creatures when God so pleases].
Tafsiri ya heaven kwa kiswahili ni nini mzee?
 
Kiswahili kina maana finyu ya neno heaven angalau Kiingereza kidogo chukua hiyo maana ya pili, ( السماء )
View attachment 2064473
Ila we jamaa eti kiswahili kina maana finyu, unanipa maana ya kingereza halafu unanitaka niachane na hiyo ya kwanza

Mimi navyoona hapo heaven ni peponi, na ndio ipo katika muktadha wa kidini
 
Weeee!, mwaka mpya unakuja na mambo mapya??!🤣

Heaven lini ikawa ni pepo??, na Paradise itakuwa nini??

Literaly heaven ni mbingu above the sky, heavenly bodies ndio nyota , sayari, jua, asteroid, nk.
 
Kwani mbinguni sio pepo?

Heeeh kumbe basi mi sijui vitu vingi sana vya dini...wait lakini hii nimeitoa kwenye cambridge dictionary

Heaven in some religions, the place, sometimes imagined to be in the sky, where God or the gods live and where good people are believed to go after they die, so that they can enjoy perfect happiness

Kwa hiyo kinyume cha heaven sio hell?

Kiukweli uliponiambie paradise ndio heaven imenifanya niangalie maana yake online maana ninavyojua mimi paradise ni maisha ambayo walikua wanaishi kina adam na eva hapa duniani pale eden, lakini peponi ni maisha ambayo yapo mbinguni kwa wale waliotenda mema

IMG_20220101_002710.jpg

Na hapa ndipo nilipokuta kumbe on other hand neno paradise lina maana mbili linawakilisha heaven vile vile.

Hiyo heaven ya sky sio katika muktadha wa dini, heaven ya kidini imezungumzia makazi ya mungu
 
Kwani mbinguni sio pepo?

Heeeh basi mi sijui, lakini hii nimeitoa kwenye cambrige dictionary

Heaven in some religions, the place, sometimes imagined to be in the sky, where God or the gods live and where good people are believed to go after they die, so that they can enjoy perfect happiness

Kwa hiyo kinyume cha heaven sio hell?

Kiukweli uliponiambie paradise ndio heaven imenifanya niangalie maana yake online maana ninavyojua mimi paradise ni maisha ambayo walikua wanaishi kina adam na eva hapa duniani pale eden, lakini peponi ni maisha ambayo yapo mbinguni kwa wale waliotenda mema

View attachment 2064508

Na hapa ndipo nilipokuta kumbe on other hand neno paradise lina maana mbili linawakilisha heaven vile vile.

Hiyo heaven ya sky sio katika muktadha wa dini, heaven ya kidini imezungumzia makazi ya mungu

Unaona hiyo definition yako inakufunga wewe mwenyewe, inaanza; "heaven in some religions----".

Mimi nazungumzia katika dini ya kiislamu ambapo mbingu ni ni mbingu tu na sio pepo, katika kiarabu mbingu ni السماء assamaa' na zikiwa nyingi ni السموات assamawaati, katika kiingereza ndio heaven na heavens, katika dini ya kiislamu pepo ni الجنة (Jannah) na wala sio االسماء (assamai), hivyo neno heaven katika zile aya maana yake ni mbingu iliyopo juu ya anga letu ambamo kuna all heavenly bodies.

Nakubali kwamba katika dini zingine neno heaven can "informally" interchangebly be used to mean paradise lakini sio katika dini ya kiislamu hususan katika Quran ambapo heaven ni literaly heaven na paradise ndio pepo yaani jannah.
 
Kama katika uislam pepo ni jannah na firdaus itakuwa ni nini?

Nimeangalia tafsiri ya neno jannah kwa mujibu wa wikipedia imefafanua ni paradise inayomaanisha maisha waliyopitia adam na hawa pale edeni, (unaweza kuniweka sawa hapa kama nimenukuu vibaya)

Lakini pia yapo maelezo yanayo jaribu kutoa ufafanuzi kati ya maneno mawili "jannah vs heaven"

Ambapo mara kadhaa Quran imetumia neno jannah kuwakilisha heaven kua ni sehemu ambayo waumini wamepewa kama zawadi kuishi baada ya kifo, kwa muktadha huo ni kwamba heaven ni pepo ambayo imetengwa kwa wafanyao mema, sasa kivipi tena heaven ije na tafsiri nyingine ya ulimwengu?
 
Si ndio hicho ninachokuambia, Jannah ndio pepo katika istilahi ya dini ya kiislamu, kimsingi kwa kiarabu jannah ni bustani, sasa kinachoangaliwa ni context ndipo utajua Jannah ni pepo au ni bustani yenye maua na mapambo mbalimbali, Pepo zina daraja mbalimbali na daraja ya juu ndio hiyo Firdaus nayo ni "jannat firdaus".

Jannah katika Istilahi ya kiislamu ndio Paradise na kinyume chake ndio Jahannam (جهنم) au Hell in English.

Hivyo ninaposema mbingu (heaven) kwa muktadha wa zile aya maana yake ni space obove the sky in which the heavenly bodies exist and not the otherwise.
 
Dah!, sayansi hii.
Minasubiri kwa hamu majibu yatokanayo na huo utafiti mpya wa darubini ya James Web huko anga za juu.
majibu wanayotoa ni yale ya kawaida sana ambayo hayawezi kuleta taharuki kwa watu wa dunia.

yale yanayohusu uwepo wa viumbe wengine kutoka sayari za mbali au picha za madude ya ajabu na ya kutisha wanazopiga huko angani huwa ni classified.
 
In the Qur'an 42:29 Allah says; "And among his signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures he has spread forth in both and He has the power to gether them together when He will so please". [Meeting with extraterrestrials living creatures when God so pleases].

Chapter (36) sūrat yā sīn Verse (36:81) - English Translation

Is not He who created the heavens and the earth Able to create the likes of them? Yes, [it is so]; and He is the Knowing Creator

Aliens.....
Interesting....🤔
 
Back
Top Bottom