....." katika ulimwengu wetu" na sio " dunia yetu " naomba nikurekebishe hapo kidogo paragraph ya kwanza mwishoni, isilete mkanganyiko kwa wasomaji wengine.
Naomba wafanikiwe katika hilo, hio ni moja ya sababu nzuri ya kuishi kwao astronauts na NASA kwa ujumla. They are living their entire life doing big big things.
JWST ina collects vipi data ? moja kwa moja inatuma duniani au mpaka mission iwe completed ndio inaleta data ?. In case ikikutana na viumbe wengine anga za mbali na wakaji'defend kwa kuki'attack JWST si tutakuwa tumepata hasara ?