Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkuu kama heaven imewakilisha space na kwamba Quran imeelezea habari iliyozungumzia bing bang na hivyo ni kitabu cha kweli, nitakuuliza swali una hakika kwamba kabla ya Quran kuandikwa hakukuwahi kuwa na maandiko ya namna hiyo?English version ya aya inayohusu the Big bang ni hii hapa ambapo Allah anasema:-
"Do not the unbelievers see that the heaven and the earth were CLOSED UP MASS (ratqan) then we CLOVE them ASUNDER (fataqna)----
"
Closed up mass hii ni kabla ya mlipuko matters zote zilikuwa zimejilundika au Allah alizilundika pamoja na baadaye alizipiga FATAKI (fataqna) na zikasambaratika (clove asunder)---- hiyo ndio process ya the big bang Allah anaionyesha, isitoshe baada ya hapo after billions of years ndipo Allah akaweka uhai na anasema; -"-- and we made from water every living thing, will they not then believe?"
Qur'an 21:30.
Unawezaje kupinga hiyo aya ya Qur'an inavyoeleza clearly on the big bang kitu ambacho kimeelezwa na Qur'an zaidi ya miaka 1400 kabla hata hao wanasayansi hawajafikiri juu ya hiyo Big bang.
Ni Qur'an ndio inaeleza misingi ya tafiti za sayansi ambazo kwazo wanasayansi huzifuata na kuthibitisha ukweli wa Qur'an.
Miongoni Mwanafizikia Maarufu sana kuwahi kutokea ni prof Abdus Salam (Nobel laureate), na aliyesaidia ku formulate na kujenga the most expensive particle accelerator/ hydron collide iliyowezesha kugunduliwa kwa God particle/Higgs bosson particle amewahi kusema akiwaambia Wanasayansi wenzake huko Cambridge alipokuwa ni prof wa theoretical physics kwamba; theory zake zote alizo theorise zinao msingi kutoka katika Qur'an , huyu Prof kaandika theory nyingi sana hadi leo wanasayansi wameshindwa kuzi proove kwa jinsi zilivyokuwa ngumu au zipo nje ya upeo wao na baadhi yao walipata kumuambia alipokuwa hai kwamba labda Einstein ndiye angaliweza kuziproove kama angalikuwa hai.
Vipi kama kuna vyanzo vingine kabla ya hiyo Quran kuja viliwahi kuandika hizo habari, je hiyo italeta maana gani kwako?
Kuna poem of creation myth inaitwa song of the hoe iliandikwa miaka 1000 kabla ya ujio wa Quran, ilisema kua "Not only did the lord make the world appear in its correct form, the lord who never changes the destinies which he determines – Enlil – who will make the human seed of the Land come forth from the earth – and not only did he hasten to separate heaven from earth, and hasten to separate earth from heaven, but, in order to make it possible for humans to grow in "where flesh came forth" [the name of a cosmic location], he first raised the axis of the world at Dur-an-ki.[16]
Kumbuka maneno hayo yameandikwa kipindi mtume muhamad hajazaliwa sasa je ni kweli maneno hayo yamezungumzia bing bang?