Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
muumbaji wa Nini Kwa mfano?Mungu ni muumbaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muumbaji wa Nini Kwa mfano?Mungu ni muumbaji
Mkuu acha kubishana na wafia Dini aisee utajipotezea Muda Bure,Hao tunawajua wazee wa kudandia treni Kwa mbele wanaamini Dunia iliumbwa na kiumbe anaitwa Allah,
Daaaa inafurahisha sana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli Kabisa Sayansi itawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo!
Sayansi huendana na fact pamoja na chunguzi zenye majibu na sio hisia kama wafuasi wa Dini walivyo!
muumbaji wa Nini Kwa mfano?
Unaposema Dunia iliumbwa unaleta utata maana Dunia bila mifumo ya Galaxies ni sawa na hakuna kitu,kisayansi na kiuhalisia Dunia ilizaliwa pale mfumo wetu wa nyota ulipojitokeza kwahiyo mnapoizungumzia Dunia pekee bila mifumo mingine mnaleta utata!Iliumbwa na nani mkuu
Dunia inajulikana Mbingu ni Nini?Dunia ,mbingu na vyote vilivyomo ndani yake
Dunia inajulikana Mbingu ni Nini?
Unaposema Dunia iliumbwa unaleta utata maana Dunia bila mifumo ya Galaxies ni sawa na hakuna kitu,kisayansi na kiuhalisia Dunia ilizaliwa pale mfumo wetu wa nyota ulipojitokeza kwahiyo mnapoizungumzia Dunia pekee bila mifumo mingine mnaleta utata!
chanzo Cha uhai ni kina maana Pana sana,kwanza inakupasa ujue kuanzia maana ya uhai hapo ukijumuisha mifumo ya Galaxies inayounda nyota mbali mbali,Sayari, estoroids,comets na magimba mengine mengi huko anga za Juu na Hivyo vyote ni vitu hai maana vilizaliwa kutokaTusaidie chanzo cha uhai mkuu inaonekana unajua mengi msaada mkuu
hahahha yaani Wewe umeshindwa muuliza Mungu ukidai Mimi niulize sayansi acha vioja,sayansi haifanyi vitu Kwa hisia hua inaenda na chunguzi na fact!Wewe si unaamini Sayansi kuliko Mungu iulize Sayansi
nimeshakujibu Mkuu kwani hujasoma nadharia yaHiyo mifumo ilitokea wapi mkuu nisaidie
Hacha uchwara wewe. Iyo milima unaiangalia kwa vimacho vyako vya kawaida tu , unajua Kuna Nini pale wewe[emoji57]Hii dunia itafika wakati vizazi vya karne kumi zijazo watakuwa wanatushangaa sisi ni vp tuliamini Mungu ni muumba wa ulimwengu kama sisi tunavovishangaa vizazi vya karne 10 nyuma ni vipi waliamini kuwa mawe, miti na milima ndio miungu iliyowatatulia shida zao.
Muache uyo.Unamaanisha hatutakiwi kuzaana?
hahahha yaani Wewe umeshindwa muuliza Mungu ukidai Mimi niulize sayansi acha vioja,sayansi haifanyi vitu Kwa hisia hua inaenda na chunguzi na fact!
Sayansi inaweza kuthibitisha vitu vyote ulivyovitaja vipo au havipo.Sayansi haiwezi kuthibitisha kwamba hakuna unicorn, spaghetti, harry potter, Spiderman
Je hiyo ina thibitisha kwamba vitu hivyo vipo kwasababu hakuna uthibitisho wa kisayansi unao onesha vitu hivyo havipo?
Mungu na dini ni vitu viwli tofauti.Ni kweli Kabisa Sayansi itawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo!
Sayansi huendana na fact pamoja na chunguzi zenye majibu na sio hisia kama wafuasi wa Dini walivyo!
Naomba unithibitishie hao finctional characters wapo kihalisia katika uhusika wao hivyo hivyo kama ambavyo wame hadithiwa kwenye simulizi zaoSayansi inaweza kuthibitisha vitu vyote ulivyovitaja vipo au havipo.
Pia inategemea, kutokuwepo au kuwepo ni nini? Harry Potter yupo, ni mhusika kwenye kitabu, unicorn yupo, ni mythical creature. Kwa hiyo sijakuelewa unamaanisha nini haswa, hivyo vitu ulivyotaja havina uhusiano na Mungu ambaye ni being beyond the universe hyperspace and everythinggggg
yaani unaitengaje dhana ya Mungu na dini?Mungu na dini ni vitu viwli tofauti.
Sayansi haiwezi kuthibitisha kama Mungu hayupo kwa sababu concept ya Mungu ni beyond the universe, hyperspace and everythingggg.