James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Mimi Sina shida ya kujua mbingu ni nini.
Ndo maana sijamuuliza Mungu.
wewe hauamini Mungu alafu unataka nimuulize Mungu mbingu ni nini?
kama huna shida ya kujua mbingu ni Nini ilianzaje kunambia Mungu aliumba Dunia na mbingu ilihali hata wewe hiyo mbingu huijui?
Huoni jinsi Gani unajichanganya?
 
Sasa mkuu ukisema hivyo huoni kwamba unaikosoa hiyo hiyo Quran ambayo imeandika habari za hii dunia ambayo ilikuja baada ya bing bang?

Nakukumbusha kua lengo ni kuonesha kuran imeongelea habari za bing bang, je unavyoona we hapo kwenye aya inayozungumzia earth ndio bing bang ilivyokua iki take place?

Sasa hapo utasema Quran imeelezea bing bang au imeelezea kilichopatikana baada ya bing bang?

Hahahahaha ila we jamaa umeingia 2022 na vituko sana, kwa hiyo unataka kusema kwamba dini ya summerians na uislam ni sawa?

Kwasababu unataka kulazamisha isionekane mwandishi wa Quran alikopi hizo habari kutoka kwenye dini hiyo umetengeneza hoja ionekane dini zote zilizotangulia kabla ya uislamu ni dini za kweli za Allah?

Haya kuna ukristo ambao ulitangulia kabla ya uislamu, kwa hiyo unakubali kwamba ni dini ya kweli kutoka kwa allah?


Kumbe hatuelewani!!😏, Qur'an kulingana na ile aya 21:30 inazungumzia formation ya the Big bang jinsi wanasayansi wanavyo theorise leo, ninachosema kwa wanasayansi ni kwamba The big bang is no longer a theory rather a reality and facts.

Nasema hivi; Ukweli ni shared bounty from Allah to all human beings, ukweli ukipatikana kwa yeyote yule hiyo ni mali ya mtu mwema na ni lazima ukweli huo uwe umetoka kwa Allah kwani Uongo ni mali ya shetani na ukweli ni mali ya Mungu.
Eeeh... wewe, unajua BLACK HOLE ni kitu gani kwanza...??

Acha kuchanganya DINI na SAYANSI bro... kila kimoja kinajitegemea.

Kabla ya Big Bang kila kitu kilikuwa kimefinywa ndani ya Point moja tuu ambayo baada ya kuripuka ndipo ikazaa Galaxies, Stars, Dark Matter, Light, All forms of Energies n.k...

Hata hii advaced Telescope (JWST) yenyewe haitoweza kuona hiyo point kwa sababu iko nyuma kabisa ya Cosmic Microwave Background & Dark Era., yenyewe itaona First Galaxies tuu na si zaidi ya hapo.

Q: Nini maana ya BLACKHOLE...?


Eti nini??, niache kuchanganya dini na Sayansi !!!??

Wewe unajua sayansi ni nini?? na dini ni nini??.

Sayansi ni elimu inayotuwezesha kujua maumbile au nature aliyoiumba Mungu, dini ni elimu inayotuwezesha kujua maneno ya Mungu, sasa iweje maumbile aliyoyaumba Mungu yapingane na maneno yake??!!--- kamwe huwezi kutenganisha sayansi ambayo ni elimu kutoka kwake Mungu na maneno yake, ukikuta Sayansi inapingana na "maneno" ya Mungu basi ujue hayo sio maneno ya Mungu au hiyo sayansi itakuwa na mushkeli.

Nimetoa aya ya Qur'an inayounga mkono The big bang theory, kumbuka aya hii imekuwepo kwa zaidi ya miaka 1400 kabla hata hao wanasayansi hawajafikiri juu ya The big bang theory na the expanding universe.

Unauliza Black hole ni nini??!------" it is simply a gravitational collapsed mass of collasal size"


It begins with the collapse of such massive stars as are 15 or more times the size of the sun.
 
Mokaze muogope mungu wako Quran haina uwezo wa kuelezea black hole mnachkua aya za kuungaunga mnageuza maana
Sio black hole hata dunia tu Quran haiijui vzr


Angalia hii aya ambapo Mungu anasema; "Remember the day when we shall roll up the heavens like the rolling up of scrolls -- As we began the first creation si shall we repeat it, a promise binding on us; that we shall certainly fulfil".

Qur'an (21:104)

Haya hebu niambie kwa uelewa wako katika hiyo aya umeona nini??
 
kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.
Mimi swali langu la kwanza ni hili kuhusu hizo mile. Wamezipimaje na uthibitisho wa kuwa ni kweli hizo mile ni hizo uko wapi ?

Na kama wamekadiria kwanini wakadirie ?
 
WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
Hapa kwanza ulitakiwa kuhakiki ukweli kuhusu Big Bang sababu wapo wanao pinga juu ya kitu hiki,na ukihoji kiutu uzima utaona kuna shida mahali.

1. Kwanza ni nani wa kwanza kuelezea nadharia ya The Big Bang ?

2. Ilikuwaje akaja na wazo hilo ?

3. Je alihakikisha vipi ukweli wa tukio hilo ?

4. Je huoni ulazima wa uwepo wa mtu aliye shuhudia hilo kama angeelezea tukio hilo ?
 
Hii dunia itafika wakati vizazi vya karne kumi zijazo watakuwa wanatushangaa sisi ni vp tuliamini Mungu ni muumba wa ulimwengu kama sisi tunavovishangaa vizazi vya karne 10 nyuma ni vipi waliamini kuwa mawe, miti na milima ndio miungu iliyowatatulia shida zao.
Ajabu wewe wa karne hii hushangai kuhusu nadharia ya The Big Bang ?

Wewe wa leo hii hushangai ya kwamba kifaa kinawezaje kujua mambk yaliyopita kama chanzo cha ulimwengu ? Mimi ndipo huwa nawashangaa sana Wanasayansi hasa wa anga walivyo kuwa wajinga na wazandiki kiasi hiki.
 
Sasa mkuu ukisema hivyo huoni kwamba unaikosoa hiyo hiyo Quran ambayo imeandika habari za hii dunia ambayo ilikuja baada ya bing bang?
Ukinipa ushahidi ya kuwa hii dunia ni matokeo ya The Big Bang theory hii ID yangu nitaomba ifungwe na wewe utakuwa shahidi juu ya hili.

Hivi hizi akilo mlizo pewa inakuwaje mnazitumia vibaya namna hii ?
 
Nakukumbusha kua lengo ni kuonesha kuran imeongelea habari za bing bang, je unavyoona we hapo kwenye aya inayozungumzia earth ndio bing bang ilivyokua iki take place?
Ukimuona mtu anasema Qur'aan imeongelea Big Bang huyo haijui Qur'aan wala haijui The Big Bang theory.

Nakuuliza swali kwanza hivi ni upi msingi mama "Nadharia (Theory)" ?
 
Kwasababu unataka kulazamisha isionekane mwandishi wa Quran alikopi hizo habari kutoka kwenye dini hiyo umetengeneza hoja ionekane dini zote zilizotangulia kabla ya uislamu ni dini za kweli za Allah?
Unaweza kuniambia Qur'aan imekopiwa tokea wapi ?
 
Haya kuna ukristo ambao ulitangulia kabla ya uislamu, kwa hiyo unakubali kwamba ni dini ya kweli kutoka kwa allah?
Ukristo gani ulitangulia kabla ya Uislamu ?

Uislamu upo tangu zama za nabii Adamu na mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
 
Kinachoexpand Ni heaven au Ni space?


Angalia hii aya na uone kinacho expand ni kitu gani!!

"And the heaven we built with our own power and indeed we go on expanding it"

Qur'an (51:47).

Space means an empty or a vaccum medium, how can it expand??!, it is heaven which expands from where it started (epicenter) after the big bang (colosal explosion). By the expansion means it moves away from the epicentre.
 
Angalia hii aya na uone kinacho expand ni kitu gani!!

"And the heaven we built with our own power and indeed we go on expanding it"

Qur'an (51:47).

Space means an empty or a vaccum medium, how can it expand??!, it is heaven which expands from where it started (epicenter) after the big bang (colosal explosion). By the expansion means it moves away from the epicentre.
Okay,,heaven Maana yake Ni Nini?
 
Mleta mada, shukrani sana kwa kileta Uzi huu.Mimi pia nina interest sana na masuala ya universe.
Kwa wale wageni wa mambo haya ningeshauri wampitie Carl Sagan moja ya muandishi mzuri sana katika kuelezea mambo haya
 
Unlike Hubble, JWST will be able to see right into stellar nurseries, where stars and their planetary systems are being born. The observations will answer questions about how the clouds of dust and gas collapse to form stars and how planetary systems form around them.
 
Ukristo gani ulitangulia kabla ya Uislamu ?

Uislamu upo tangu zama za nabii Adamu na mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
wewe ostadh mwongo sana Kila mtu mwenye kutumia fahamu zake vema anajua Uislam ulianzishwa na Mohammed Miaka ya 600 AD huko hiyo ya kusema ilianza enzi za Adam kawadanganye watoto huko madrasa maana ndio zenu!
Historia haidanganyi!
 
Back
Top Bottom