Sasa mkuu ukisema hivyo huoni kwamba unaikosoa hiyo hiyo Quran ambayo imeandika habari za hii dunia ambayo ilikuja baada ya bing bang?
Nakukumbusha kua lengo ni kuonesha kuran imeongelea habari za bing bang, je unavyoona we hapo kwenye aya inayozungumzia earth ndio bing bang ilivyokua iki take place?
Sasa hapo utasema Quran imeelezea bing bang au imeelezea kilichopatikana baada ya bing bang?
Hahahahaha ila we jamaa umeingia 2022 na vituko sana, kwa hiyo unataka kusema kwamba dini ya summerians na uislam ni sawa?
Kwasababu unataka kulazamisha isionekane mwandishi wa Quran alikopi hizo habari kutoka kwenye dini hiyo umetengeneza hoja ionekane dini zote zilizotangulia kabla ya uislamu ni dini za kweli za Allah?
Haya kuna ukristo ambao ulitangulia kabla ya uislamu, kwa hiyo unakubali kwamba ni dini ya kweli kutoka kwa allah?
Kumbe hatuelewani!!😏, Qur'an kulingana na ile aya 21:30 inazungumzia formation ya the Big bang jinsi wanasayansi wanavyo theorise leo, ninachosema kwa wanasayansi ni kwamba The big bang is no longer a theory rather a reality and facts.
Nasema hivi; Ukweli ni shared bounty from Allah to all human beings, ukweli ukipatikana kwa yeyote yule hiyo ni mali ya mtu mwema na ni lazima ukweli huo uwe umetoka kwa Allah kwani Uongo ni mali ya shetani na ukweli ni mali ya Mungu.
Eeeh... wewe, unajua BLACK HOLE ni kitu gani kwanza...??
Acha kuchanganya DINI na SAYANSI bro... kila kimoja kinajitegemea.
Kabla ya Big Bang kila kitu kilikuwa kimefinywa ndani ya Point moja tuu ambayo baada ya kuripuka ndipo ikazaa Galaxies, Stars, Dark Matter, Light, All forms of Energies n.k...
Hata hii advaced Telescope (JWST) yenyewe haitoweza kuona hiyo point kwa sababu iko nyuma kabisa ya Cosmic Microwave Background & Dark Era., yenyewe itaona First Galaxies tuu na si zaidi ya hapo.
Q: Nini maana ya BLACKHOLE...?
Eti nini??, niache kuchanganya dini na Sayansi !!!??
Wewe unajua sayansi ni nini?? na dini ni nini??.
Sayansi ni elimu inayotuwezesha kujua maumbile au nature aliyoiumba Mungu, dini ni elimu inayotuwezesha kujua maneno ya Mungu, sasa iweje maumbile aliyoyaumba Mungu yapingane na maneno yake??!!--- kamwe huwezi kutenganisha sayansi ambayo ni elimu kutoka kwake Mungu na maneno yake, ukikuta Sayansi inapingana na "maneno" ya Mungu basi ujue hayo sio maneno ya Mungu au hiyo sayansi itakuwa na mushkeli.
Nimetoa aya ya Qur'an inayounga mkono The big bang theory, kumbuka aya hii imekuwepo kwa zaidi ya miaka 1400 kabla hata hao wanasayansi hawajafikiri juu ya The big bang theory na the expanding universe.
Unauliza Black hole ni nini??!------" it is simply a gravitational collapsed mass of collasal size"
It begins with the collapse of such massive stars as are 15 or more times the size of the sun.