James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Bora wangeishia hapo kuliko kuvuka border kusema kuna bing bang kwenye Quran eti kwasababu kuna earth na heaven vimetajwa ndani yake

Hiyo ni joking unabidi uwe serious sana kujizuia usicheke

Wanataka kuaminisha watu kua earth ambayo ilikuja miaka bilion 9 baada ya bing bang ndiyo bing bang yenyewe

Kingine ambacho hawakijui ni kwamba hii stori imekopiwa kwenye ancient myth god anayejulikana kama Enlil, walijua ni kitabu chao ndio kimeongea hii habari kwa mara ya kwanza. Sasa baada ya kuwafahamisha inakuwa ngumu wao kukubali kuwa wamekopi
Mara nyingi hua nawaambia humu ya kwamba Hivyo vitabu wanayoviita maandiko matakatifu walioviandika walicopy kutoka katika maandishi ya kale ya Sumerian, Assyrian, Babylon, Egypt maana ni Copy & Paste Kabisa lakini ni wabishi sana maana hata historia inawapiga chenga hua wanadhani Kila Mtu ataamini Hizo hekaya zao za kiabunuasi humu jamvini
Na katika kundi nalowaona wendawazimu ni watu wanaoamini Dini na na dhana ya Mungu katika Karne Hii hua nashindwa kuwaelewa kabisaaa wanawezaje kuamini Yani!
 
Sasa hali anayoipitia mdau kwa sasa ni kwamba inambidi akubali hizo dini zote zilizotangulia kua ni za kweli zimetoka kwa mungu anaye muamini

Maana akionekana kwenda kinyume nazo basi hizo stories zilizoandikwa kwenye kitabu chake ambazo ziliandikwa karne nyingi zilizopolita kabla ya kitabu chake ni lazima zionekane za uwongo pia.
 
Kabla ya the big bang sio dunia tu hata huu ulimwengu ulivyokuwa leo haukuwepo, the big bang ndio ESSENCE ya ulimwengu wote na kwa taarifa yako baada ya ulimwengu ku cease its expansion kila kitu (all heavenly bodies including lights) zitavutwa tena pale pale zilipoanzia kwenye mlipuko wa mwanzo, hapo ndipo panaitwa THE BLACK HOLE, hii nayo imo ndani ya Qur'an.

Wewe unataka nisitumie kiarabu wakati hizo aya originally zimeshushwa kwa kiarabu!!, ninachofanya hapa ni tafsiri ya maneno ya asili ya kiarabu katika kiswahili au kiingereza hivyo kiarabu is inevitable.

Narudia kusema kabla ya Uisilamu kulikuwepo na dini zingine kutoka kwa Allah, sasa kama kuna vitabu vimezungumzia juu ya the big bang basi vitabu hivyo au elimu hiyo katika vitabu hivyo itakuwa ilitoka kwa Mungu kupitia hao waliokuwa mitume wake na siwezi kushangaa kwani Qur'an nayo imetoka kwa huyo huyo Mungu na UKWELI ni shared bounty kutoka kwa huyo huyo Mungu mmoja kwenda kwa watu mbalimbalia na wala moyo wangu haukirihiki.
Mokaze muogope mungu wako Quran haina uwezo wa kuelezea black hole mnachkua aya za kuungaunga mnageuza maana
Sio black hole hata dunia tu Quran haiijui vzr
 
Ni kweli kabisa. Na hata hivyo sayansi haiwezi kamwe kuthibitisha kwamba Mungu hayupo.
Ni kweli Kabisa Sayansi itawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo!
Sayansi huendana na fact pamoja na chunguzi zenye majibu na sio hisia kama wafuasi wa Dini walivyo!
 
ila mwamba acha kutupiga kamba hapa et Quran imeelezea hizo theory za
Big Bang Hivi mtaacha lini uongo nyie watu kulazimisha vitu?
Si ndio hicho hicho kitabu chenu kinasema jua huzama Kwenye chemichemi za matope?
Acheni kuforce mambo Aisee haiingii akilini Leo mje mjidai eti vitabu vinavyoitwa vya Mungu kukubali sayansi ni ulongo mkuu!

Jua kuzama kwenye chem chem ya matope umeelewa nini??--- kuna tamathali za kiroho katika maandiko ya Mungu, sio kila neno linaweza kutafasiriwa moja kwa moja, ukisoma maandiko ya Mungu katika sense ya literal then you are lost.
 
Mungu ni zaidi ya Sayansi na ndo ametupa hyo elimu.
bila Mungu hakuna Sayansi
ila mwamba acha kutupiga kamba hapa et Quran imeelezea hizo theory za
Big Bang Hivi mtaacha lini uongo nyie watu kulazimisha vitu?
Si ndio hicho hicho kitabu chenu kinasema jua huzama Kwenye chemichemi za matope?
Acheni kuforce mambo Aisee haiingii akilini Leo mje mjidai eti vitabu vinavyoitwa vya Mungu kukubali sayansi ni ulongo mkuu!
 
Mwishoni
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.

James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua zaidi ya miaka 10 kukamilika.

James Web Space telescope (JWST) inaenda kufanya nini?

Mission objectives
  1. JWST inaenda kuisaidia NASA kufanya uchunguzi wa chanzo cha ulimwengu huu.
  2. WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
  3. JWST inaenda kusaidia pia kuweza kujifunza namna sayari,galaxy na nyota za mbali zilivyo evolve overtime.
  4. JWST inaenda kutafuta uwepo wa viumbe vingine na uhai katika planets zilizoko katika nyota nyingine.
  5. JWST inaenda kuchungua eneo muhimu sana katika galaxy yetu linaitwa HABITABLE ZONE kuangalia uwepo wa sayari nyingine zinazo support uhai kama dunia yetu.
JWST bila ubishi ndo most advanced machine ever built by human being.
Hebu pia hizi fact hapa

1.JWST inaenda kusaidia wanasayansi kuangalia nyuma ya muda.
With the new telescope, astronomers are hoping to study the very first stars and galaxies in the universe to understand its secrets.
Jwst ni some kind of time machine.inaturudisha nyuma by vision.

2. A better understanding of our universe's history.

All images taken by Hubble reflect not only galactic systems but also a collection of the universe's history. With Hubble, scientists were able to peek into galaxies that formed 400 million years after the Big Bang.
James Webb Telescope may be able to bridge that gap and show images from 250 million years after the Big Bang, taking us closer to the starting point of our universe.

Besides just seeing galaxies, the new telescope will bring more detail to all images including spiral arms, more light, and better structure.

JWST itatupa picha ya galaxies zilizokuwa formed miaka 250 baada ya tukio la bingbang theory.

3. Infrared lighting
Hubble space telescope ilikuwa inachukua picha kupitia ultra violet (visible light)
lakini JWST iko advanced zaidi inatumia Infrared lighting. Hapa itapata picha na details za ziada zaidi katika picha husika mfano kama ita view exoplanet basi itatuletea details za ziada kama uwepo wa VIUMBE hai,maji,gravity etc.
With infrared imaging, astronomers may be able to peek into extremely old galaxies owing to a process called "redshifting" wherein light is stretched as it appears and disappears, leaving a red trail behind. With infrared, Webb will be able to capture extremely old galaxies that are currently being pushed farther away from Earth and becoming redder. That's how you look back in time!

References

Nitafurahi sana kama kuna mwenye swali atapost hapo chini nitamjibu kadiri ya taarifa nilizoko nazo.
Mwishoni watafika mbinguni hao
 
Ebu Soma hyo Aya ya 6.
Sayansi imegundua alivyoviumba Mungu
ila mwamba acha kutupiga kamba hapa et Quran imeelezea hizo theory za
Big Bang Hivi mtaacha lini uongo nyie watu kulazimisha vitu?
Si ndio hicho hicho kitabu chenu kinasema jua huzama Kwenye chemichemi za matope?
Acheni kuforce mambo Aisee haiingii akilini Leo mje mjidai eti vitabu vinavyoitwa vya Mungu kukubali sayansi ni ulongo mkuu!
Screenshot_20220101-171203.jpg
 
Kabla ya the big bang sio dunia tu hata huu ulimwengu ulivyokuwa leo haukuwepo, the big bang ndio ESSENCE ya ulimwengu wote na kwa taarifa yako baada ya ulimwengu ku cease its expansion kila kitu (all heavenly bodies including lights) zitavutwa tena pale pale zilipoanzia kwenye mlipuko wa mwanzo, hapo ndipo panaitwa THE BLACK HOLE, hii nayo imo ndani ya Qur'an.

Wewe unataka nisitumie kiarabu wakati hizo aya originally zimeshushwa kwa kiarabu!!, ninachofanya hapa ni tafsiri ya maneno ya asili ya kiarabu katika kiswahili au kiingereza hivyo kiarabu is inevitable.

Narudia kusema kabla ya Uisilamu kulikuwepo na dini zingine kutoka kwa Allah, sasa kama kuna vitabu vimezungumzia juu ya the big bang basi vitabu hivyo au elimu hiyo katika vitabu hivyo itakuwa ilitoka kwa Mungu kupitia hao waliokuwa mitume wake na siwezi kushangaa kwani Qur'an nayo imetoka kwa huyo huyo Mungu na UKWELI ni shared bounty kutoka kwa huyo huyo Mungu mmoja kwenda kwa watu mbalimbalia na wala moyo wangu haukirihiki.
Eeeh... wewe, unajua BLACK HOLE ni kitu gani kwanza...??

Acha kuchanganya DINI na SAYANSI bro... kila kimoja kinajitegemea.

Kabla ya Big Bang kila kitu kilikuwa kimefinywa ndani ya Point moja tuu ambayo baada ya kuripuka ndipo ikazaa Galaxies, Stars, Dark Matter, Light, All forms of Energies n.k...

Hata hii advaced Telescope (JWST) yenyewe haitoweza kuona hiyo point kwa sababu iko nyuma kabisa ya Cosmic Microwave Background & Dark Era., yenyewe itaona First Galaxies tuu na si zaidi ya hapo.

Q: Nini maana ya BLACKHOLE...?
 
Na mimi kila siku najiuliza mijitu duniani inashindana kuzaa na wakati tunajua wote tutakufa, sasa huu muundelezo wa kuuzaana una maana gani...
Maana wengine wanazaa na kuleta duniani viumbe ambavyo vitahangaika maisha yao yote mpaka kufa....
Aisee Darwin Theory was never appreciated ndio maana mnaletewa kila njia ya depopulation na waliojuwa haya.....
Wewe ni matokeo ya kuzaana
 
Back
Top Bottom