Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kama ni zamani ningekwambia tupinge ila sasa naseama tubetiHahaaa. Nilijiandaa kisaikolojia ile mechi ya round ya kwanza ila round hii hapana aisee.
Ni mwendo wa Mnyama kufa tu Sesten.
Hahahaaaa. LolKwahiyo Maza wako anawacheka tu saa hizi wee na Dingi, hahahaaa
Sawa tubet halafu tuone Mkeka wa nani utachanika. Hahahaaaa.Kama ni zamani ningekwambia tupinge ila sasa naseama tubeti
Utaisha 2 bila,Boko atapiga kitu[QUOT]
game itaisha hivi Mtibwa 2-1 Simba,
Natabiri
Hahahaaa. Una pa kutokea Mkuu?[QUOT]
game itaisha hivi Mtibwa 2-1 Simba,
Natabiri
Chagua wee mwenyewe nani awe shahidiSawa tubet halafu tuone Mkeka wa nani utachanika. Hahahaaaa.
Utaisha 2 bila,Boko atapiga kitu
Hahaa. Sisi wenyewe tunatosha. LolChagua wee mwenyewe nani awe shahidi
Hahahaaa. Una pa kutokea Mkuu?[/QUOT
Simba hao we wape tu 5 stars uone. Kuna goli la nje ya 18 na Penalt hapo. Simba watakaa tu sio masihara
Mmh. Simba kama Waarabu vile
Hahahahah Mi Kusikiliza Mpira kwenye Redio Sio Poa Kabisaa Napata Presha Ya Hatari Na uyu Mtangazaji Anafanya Visa TuuMmh. Simba kama Waarabu vile
Hahaaa. Mie nimebet 1 -1Simba wasinichanie mkeka wangu;NIMEBETI MTIBWA 2-1 SIMBA;
Hahaaa. Pole Mtani ila ushakwisha huu sababu zimeongezwa tatu moja na nusu zimeshakwisha.Hahahahah Mi Kusikiliza Mpira kwenye Redio Sio Poa Kabisaa Napata Presha Ya Hatari Na uyu Mtangazaji Anafanya Visa Tuu