Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Utaisha 2 bila,Boko atapiga kitu

Tatizo boko anahaha mno ili kufunga kwa kuwa waziri wandani kafunga nje basi waziri wa nje nae anaona lazima afunge kuonyesha cheo chake, na kumbuka Simba wanalinda hapo kwa hiyo vyovyote vile wanaruhusu mashambulizi ya kushitukuza rangoni kwao
 
Hahahahah Mi Kusikiliza Mpira kwenye Redio Sio Poa Kabisaa Napata Presha Ya Hatari Na uyu Mtangazaji Anafanya Visa Tuu
Hahaaa. Pole Mtani ila ushakwisha huu sababu zimeongezwa tatu moja na nusu zimeshakwisha.

Ushindi wenu huu leo.
 
Back
Top Bottom