Jamhuri msipoandaa Mawakili mkaendelea kubebwa na Majaji na Mahakimu tutaendelea kukodi Mawakili wa kigeni milele

Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Wanashinda mapingamizi kwa kuwa: Polisi CCM; Mhakama CCM; na DPP CCM.
 
Akili huna mleta mada dunia nzima huwezi fanya kazi ya uwakili bila kufanya mitihani ya Nchi husika na kufaulu uwe wakili

Nduo maana hata Ukienda Nchi ya Zanzibar hata Kama umesajiliwa Nchi ya Tanganyika Law society huwezi practice uwakili!!

Amsterdam wawili wa Lisu Hana ubavu wa kuingia mahakama za Tanzania Kama wakili
Kaufaulu mtihani siyo kigezo cha kuwa expert kwenye field yako.

Inaonekana umepungukiwa mengi kiasi cha kushindwa hata kuelewa hoja ya mleta mada.

Soma tena na kutafakari, kama una uwezo.
 
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Mimi naweza kujiuliza swali moja tu kwani kuna vyuo vya aina mbili vya kufundisha hao ma advocate? yaani wale wa Serikali wana chuo chao na wale wanaoutetea upinzani nao wana chuo chao? kwa nini kuwe na tofauti?
 
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?

Kwahiyo wewe unadhani ukiwa wakili mzuri sana Bongo basi unaweza kufanya kazi ya uwakili kwenye mahakama yoyote duniani?

You always must have a valid local license to practice law!
 
Dunia kwetu kuwa Kijiji bado Sana,mawazo hayo no mazuri , endapo tungekuwa na uwezo wa kuitumia teknologia kwa ufanisi,tafakari kwa mazingira yetu kiswahili ni toshelezi kwa kiwango gani, kitaaluma, kiuchumi, kisheria na katika Manisha ya kila siku na mwingiliano wa kijamii kidunia.
lugha kuu ya Mahakama ndio ipi hiyo?
inamaana hadi leo hii Lugha yetu ya Kiswahili haina Maana mbele ya Mahakama zetu za Tanzania?!
Pamoja na sheria kupitishwa na Bunge!!
Waziri wa Katiba na Sheria Prof: Kabudi yuko.wapi kuhakikisha kiswahili kinatumiwa na Mahakama.
Sisi Watanzania tutaelewaje hiyo inayo daiwa kuwa lugha kuu ya Mahakama?!!
Yaani kwa hali hii natamani Magufuli afufuke, inamaana Magufuli alivyo kuwa anasisitiza Kiswahili kitumike hawa viongozi walikuwa wanamkejeli tu!?
wakati akiwa hai sheria ilipitishwa haraka bila kuchelewa, leo hii nini kikubwa hicho kinacho chelewesha Mahakama kutokutumia Lugha ya Kiswahili?!
hizi Mahakama kweli zinawatumikia watanzania au zinawatumikia wazungu?

Watanzania wengi wanashangaa sana kwa Mahakama kuendelea kung'ang'ania kutumia lugha ya kiswahili, sijui wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani haswa?
Bado watanzania wengi wanakasumba ya ovyo ya kudhani kuzungumza kiingereza ndio kuelimika!! na asiye weza kuzungumza kiingereza anachukuliwa kama zezeta kumbe ni dhana potofu kabisa!
 
lugha kuu ya Mahakama ndio ipi hiyo?

inamaana hadi leo hii Lugha yetu ya Kiswahili haina Maana mbele ya Mahakama zetu za Tanzania?!
Pamoja na sheria kupitishwa na Bunge!!

Waziri wa Katiba na Sheria Prof: Kabudi yuko.wapi kuhakikisha kiswahili kinatumiwa na Mahakama.
Sisi Watanzania tutaelewaje hiyo inayo daiwa kuwa lugha kuu ya Mahakama?!!

Yaani kwa hali hii natamani Magufuli afufuke, inamaana Magufuli alivyo kuwa anasisitiza Kiswahili kitumike hawa viongozi walikuwa wanamkejeli tu!?

wakati akiwa hai sheria ilipitishwa haraka bila kuchelewa, leo hii nini kikubwa hicho kinacho chelewesha Mahakama kutokutumia Lugha ya Kiswahili?!

hizi Mahakama kweli zinawatumikia watanzania au zinawatumikia wazungu?
Wasome kwa kiingereza waje watumie kiswahili? Unashida sehemu kama Jiwe na ndiyo maana hata umeomba afufuke, ndege wafananao.........pamoja.
 
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Hiyo si ni faraja kwako ?,ili Mangi Mbowe aje uraiani kula ruzuku
 
..kila mahakama ina mawakili waliosajiliwa kuendesha na kutetea kesi ktk mahakama hiyo.

..suala la serikali ya Tanzania kukodi mawakili kila inaposhtakiwa nje ya nchi halitokani na mawakili wetu kukosa uwezo.

..Kwa mfano, ili uweze kutetea kesi ktk mahakama ya Afrika Kusini lazima uwe umesajiliwa kutetea kesi ktk mahakama hiyo.

..Ndio maana ndege ya Tz ilipokamatwa Afrika Kusini serikali ilikodi mawakili toka huko kusaidia kugomboa ndege yetu.

..Siku ikitokea ndege ya Marekani imezuiliwa hapa nchini, Attorney General wa Marekani atalazimika kukodi mawakili wa Kitanzania wakasimamie kesi ktk mahakama za hapa kwetu.
 
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Hapo ndipo unapoweza kutofautisha kati ya 'learned counsel' na 'state attorney'
1. Learned counsel-wanajibidisha kutafuta usiku na mchana lakini pia wanahifadhi kumbukumbu kwa kina, umakini na mpangilio kufuatana na matukio na hatua. Bidii yao ndio maslahi yanaongezeka
2. State attorney-wana kila kitu kwenye makabati, kuchakata miswada na tafsiri za sheria. Kila tukiolinalopita huwekwa kabatini, hakuna bidii binafsi za kutafuta kujifunza kutoka kwingine kwa kuwa wako chini ya kivuli cha tembo. Kumbukumbu haziko sawa na usahihi kwa kulingana na wakati Kwa vyovyote wafanyavyo wana uhakika wa kulipwa kila mwezi

NOTE: Shibe mwana malevya
 
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?

Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.

Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.

Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Hawa ndio wengi wamekuwa wanapewa promosheni na kuwa MAJAJI. Wakiwa majaji uelewa wao unakuwa uleule kama waliokuwa nao walipokuwa mawakili wa serikali.
 
lugha kuu ya Mahakama ndio ipi hiyo?
inamaana hadi leo hii Lugha yetu ya Kiswahili haina Maana mbele ya Mahakama zetu za Tanzania?!
Pamoja na sheria kupitishwa na Bunge!!
Waziri wa Katiba na Sheria Prof: Kabudi yuko.wapi kuhakikisha kiswahili kinatumiwa na Mahakama.
Sisi Watanzania tutaelewaje hiyo inayo daiwa kuwa lugha kuu ya Mahakama?!!
Yaani kwa hali hii natamani Magufuli afufuke, inamaana Magufuli alivyo kuwa anasisitiza Kiswahili kitumike hawa viongozi walikuwa wanamkejeli tu!?
wakati akiwa hai sheria ilipitishwa haraka bila kuchelewa, leo hii nini kikubwa hicho kinacho chelewesha Mahakama kutokutumia Lugha ya Kiswahili?!
hizi Mahakama kweli zinawatumikia watanzania au zinawatumikia wazungu?
kweli watanzania watapata haki ktk mazingira kama haya?!
Mahakama kukiuka kutumia Lugha ya kiswahili ni kukandamiza Haki za watanzania.
 
..mawakili watapwaya kwasababu wamejifunza sheria kwa Kiingereza.

..hata wanapojiandaa kwenda mahakamani wanasoma makabrasha na hukumu mbalimbali zilizoandikwa kwa Kiingereza.

..Watanzania tuache UVIVU. Wanasheria wetu kushindwa kuwasiliana kwa Kiingereza ni uzembe tu.

..Mwanasheria asiyejua Kiingereza namlinganisha na Polisi asiyejua kutumia kirungu. Ni uzembe na uvivu.
 
Back
Top Bottom