The wave
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 283
- 318
BravoMkuu mawakili wa govt sio kama hatuna weledi tatizo linakuja kutetea uongo ni kazi kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BravoMkuu mawakili wa govt sio kama hatuna weledi tatizo linakuja kutetea uongo ni kazi kubwa sana.
Hiyo ikiuwa Sera ya Chadema lakini hadi leo Mwenyekiti Mbowe ni division zero form Six na katibu mkuu ni Mnyika form four
Hiyo elimu elimu elimu sijui walikua wakimwambia nani
Chadema ndio sera yenu ilikua elimu elimu elimu sisi CCM haikuwa hiyo mliimba elimu tukadhani mwenyekiti Taifa atakuwa Profesa Baregu na katibu Dr Lwaitama kumbe hamna kitu kelele tu za kutapeli watanzania..Maza naye si hakufanya vizuri form 4.
..sidhani kama CCM mnaweza kuwacheka CDM kuhusu suala hilo.
Walikuwa wanamtegemea mkono advocate, siku hizi alipotea, ndo maana mkulima wa nabari na wale wakandarasi wa bagamoyo walipiga hela ya kufa mtu baada ya kushikilia ndegeLet us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?
Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.
Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.
Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
Chadema ndio sera yenu ilikua elimu elimu elimu sisi CCM haikuwa hiyo mliimba elimu tukadhani mwenyekiti Taifa atakuwa Profesa Baregu na katibu Dr Lwaitama kumbe hamna kitu kelele tu za kutapeli watanzania
Sasa hivi wanajisifia vituo vya afya vya tozo ambavyo vinafanywa very local and un proffesionaly, no consultant no contractors, hi nchi proffesion zimekufaUsiwaamshe waliolala mwisho utalala wewe, msemo wa wahenga, matokeo ya kayumba, kata na elimu bure.
Winston Churchill, nina mashaka sana kwa ulivyo hivyo kama unaweza hata ukamfahamu, alikuwa na elimu gani na kwa nini hadi leo hii ndio amekuwa the best performing PM in UK history.Hiyo ikiuwa Sera ya Chadema lakini hadi leo Mwenyekiti Mbowe ni division zero form Six na katibu mkuu ni Mnyika form four
Hiyo elimu elimu elimu sijui walikua wakimwambia nani
Narudia sera ya CCM sio elimu kama nyie wenye hiyo sera ndio mujibu kwa nini mwenyekiti wenu Chadema Taifa ni division zero form Six?
Sina shida na Winston Churchill au yeyote nauliza nyie Chadema wenye sera ya Elimu elimu elimu kwa nini mwenyekiti wa Chadema Taifa ni division zero secondary?Winston Churchill, nina mashaka sana kwa ulivyo hivyo kama unaweza hata ukamfahamu, alikuwa na elimu gani na kwa nini hadi leo hii ndio amekuwa the best performing PM in UK history.
Unashindwa hata kuelewa kwamba elimu na kipawa cha uongozi ni vitu viwili tofauti. Haya mnasema Magufuli alikuwa na PhD, sasa kama ni kweli ilikuwa ni ya halali ilimsaidiaje kwenye utawala wake wa kiimla?
Huyu rais wa sasa unafahamu Educational Background yake vizuri. Tatizo mkishawekwa humu kuponda wale wapinzani wa ccm basi hamtumii kabisa akili ktk kuhalalisha hizo "Wages" mnazolipwa. Very hopeless.
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?
Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.
Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.
Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
lugha kuu ya Mahakama ndio ipi hiyo?
inamaana hadi leo hii Lugha yetu ya Kiswahili haina Maana mbele ya Mahakama zetu za Tanzania?!
Pamoja na sheria kupitishwa na Bunge!!
Waziri wa Katiba na Sheria Prof: Kabudi yuko.wapi kuhakikisha kiswahili kinatumiwa na Mahakama.
Sisi Watanzania tutaelewaje hiyo inayo daiwa kuwa lugha kuu ya Mahakama?!!
Yaani kwa hali hii natamani Magufuli afufuke, inamaana Magufuli alivyo kuwa anasisitiza Kiswahili kitumike hawa viongozi walikuwa wanamkejeli tu!?
wakati akiwa hai sheria ilipitishwa haraka bila kuchelewa, leo hii nini kikubwa hicho kinacho chelewesha Mahakama kutokutumia Lugha ya Kiswahili?!
hizi Mahakama kweli zinawatumikia watanzania au zinawatumikia wazungu?
sasa sisi wananchi tusio jua kizungu hatutakiwi kudai haki mahakamani?!Magufuli alikuwa hajui kiingereza ndio maana akawa analazimisha kiswahili ili kuficha udhaifu wake. Hao waliopitisha hiyo sheria sio kwakuwa walikuwa wanaamini atakacho, bali walikuwa wanamuogopa kutokana na ulevi wake wa madaraka.
Mkuu, ongea taratibu. Unamjua aliyeipenda hiyo hoja ya kiswahili kitumike kwenye mahakama zetu? Hata kama is no more, lakini linda Legacy yake...mawakili watapwaya kwasababu wamejifunza sheria kwa Kiingereza.
..hata wanapojiandaa kwenda mahakamani wanasoma makabrasha na hukumu mbalimbali zilizoandikwa kwa Kiingereza.
..Watanzania tuache UVIVU. Wanasheria wetu kushindwa kuwasiliana kwa Kiingereza ni uzembe tu.
..Mwanasheria asiyejua Kiingereza namlinganisha na Polisi asiyejua kutumia kirungu. Ni uzembe na uvivu.
Kwa kawaida mawakili wa serikali siyo lazima wa pass bar exams. Huwa wanakuwa excempted na wanakuwa registered conditionally ili waweze kupractice.Akili huna mleta mada dunia nzima huwezi fanya kazi ya uwakili bila kufanya mitihani ya Nchi husika na kufaulu uwe wakili
Ndio maana hata Ukienda Nchi ya Zanzibar hata Kama umesajiliwa Nchi ya Tanganyika Law society huwezi practice uwakili!!
Amsterdam wawili wa Lisu Hana ubavu wa kuingia mahakama za Tanzania Kama wakili
Mkuu, ongea taratibu. Unamjua aliyeipenda hiyo hoja ya kiswahili kitumike kwenye mahakama zetu? Hata kama is no more, lakini linda Legacy yake.
Lugha ya mahakama ni kiswahili na kiingereza.sasa sisi wananchi tusio jua kizungu hatutakiwi kudai haki mahakamani?!
Mbona kama Mahakama zetu zinatubagua?!
kwa hiyo kiingereza ndio Lugha inayo takiwa na Mahakama?
kwani hao majaji kweli ni watanzania ambao wanataka watanzania wapate haki yao?
Mbona SADC wamepitisha matumizi ya lugha ya kiswahili ktk shughuli zake zote pamoja na kumbukumbu? vipi mahakama zetu zigome kutumia kiswahili ktk kumbukumbu zake?
naomba nisaidiwe
Mawakili wa serikali wanategemea jeshi la polisi na maagizo kutoka juu kushinda kesi.Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?
Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.
Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.
Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?
lugha kuu ya Mahakama ndio ipi hiyo?
inamaana hadi leo hii Lugha yetu ya Kiswahili haina Maana mbele ya Mahakama zetu za Tanzania?!
Pamoja na sheria kupitishwa na Bunge!!
Waziri wa Katiba na Sheria Prof: Kabudi yuko.wapi kuhakikisha kiswahili kinatumiwa na Mahakama.
Sisi Watanzania tutaelewaje hiyo inayo daiwa kuwa lugha kuu ya Mahakama?!!
Yaani kwa hali hii natamani Magufuli afufuke, inamaana Magufuli alivyo kuwa anasisitiza Kiswahili kitumike hawa viongozi walikuwa wanamkejeli tu!?
wakati akiwa hai sheria ilipitishwa haraka bila kuchelewa, leo hii nini kikubwa hicho kinacho chelewesha Mahakama kutokutumia Lugha ya Kiswahili?!
hizi Mahakama kweli zinawatumikia watanzania au zinawatumikia wazungu?
Huu ni Ubaguzi mkubwa ktk kudai haki ktk mahakama za Tanzania, Lugha ya Kiswahili ndio lugha ya Watanzania kwa nn Mahakama itumie Lugha ya kiingereza wakati inawahudumia waswahili?
Waulize kawawa au msekwa alikuwa elimu gani?Winston Churchill, nina mashaka sana kwa ulivyo hivyo kama unaweza hata ukamfahamu, alikuwa na elimu gani na kwa nini hadi leo hii ndio amekuwa the best performing PM in UK history.
Unashindwa hata kuelewa kwamba elimu na kipawa cha uongozi ni vitu viwili tofauti. Haya mnasema Magufuli alikuwa na PhD, sasa kama ni kweli ilikuwa ni ya halali ilimsaidiaje kwenye utawala wake wa kiimla?
Huyu rais wa sasa unafahamu Educational Background yake vizuri. Tatizo mkishawekwa humu kuponda wale wapinzani wa ccm basi hamtumii kabisa akili ktk kuhalalisha hizo "Wages" mnazolipwa kwa kuandika umbeya humu. Very hopeless.