Jamhuri msipoandaa Mawakili mkaendelea kubebwa na Majaji na Mahakimu tutaendelea kukodi Mawakili wa kigeni milele

Hiyo ikiuwa Sera ya Chadema lakini hadi leo Mwenyekiti Mbowe ni division zero form Six na katibu mkuu ni Mnyika form four

Hiyo elimu elimu elimu sijui walikua wakimwambia nani
Mbona magufuli aliiba research ya watu na hukuongea?
 
Lugha kuu ya mahakama
Mahakama ya Mwanzo ni kiswahili
Mahakama ya wilaya kiswahili na kiingereza
Mahakama kuu kiingereza
Mahakama ya rufaa ni kiingereza

Kwenye ndege
Precision Air -VIP class ni kiingereza
 
Kweli kabisa! Ukiwa mdau wa sheria ndiyo unaona haya unayoyaeleza vizuri. Wakati mwingine huwa najiuliza kwa kujilaumu: kwa nini niliamua kusoma sheria?

Bora Mimi niliamua kusoma ufundi seremara
 
Bahati nzuri nina kufahamu ,nimesha wahi kukwambia pamoja na shahada yako ya uzamili akili yako ni mbovu kwa sababu ya CCM .Unashindwa kujibu hoja kisomi ,mkuu Narudia tena hata kama bila CCM huwezi kuishi lakini Jaribu kutumia Elimu yako vizuri.Wasomi wote tunaonekana wapuuzi kwa sababu yenu .
 
Hakuna wakili competate anaweza kukubali kufanya kazi serikalini..reference nzuri ni huyo kibatala na Lisu sidhani kama wamewahi kuajiriwa serikalini kama mawakili.

Hakuna mhasibu / Mkaguzi mzuri anayefanya kai Serekalini.
 
Hayo mambumbu ya serikali umeyashuhudia Leo mahakamani.Yaani mpaka roho yenyewe inawauma.Hapa duniani tuna pita kama Magufuli na ubabe wake kaburini alikwenda wewe ni nani mpaka uwe na roho mbaya kiasi hicho
 
Una mfahamu mwenye DIVISION FOUR YA POINT 33 ?Uko naye ofisini.Pamoja na master's yako bila yeye wewe huli
Chadema ndio sera yenu ilikua elimu elimu elimu sisi CCM haikuwa hiyo mliimba elimu tukadhani mwenyekiti Taifa atakuwa Profesa Baregu na katibu Dr Lwaitama kumbe hamna kitu kelele tu za kutapeli watanzani
 
Lugha kuu ya mahakama
Mahakama ya Mwanzo ni kiswahili
Mahakama ya wilaya kiswahili na kiingereza
Mahakama kuu kiingereza
Mahakama ya rufaa ni kiingereza

Kwenye ndege
Precision Air -VIP class ni kiingereza
huu ni ubaguzi wa hali ya juu ktk kutafuta haki.
 
Wewe ni mgeni hapa nchini?
 
kwel.ww n nguchiro

 
Nimepitia maelezo yote ya Mawakili wa Jamhuri na Mawakili wa utetezi naishauri Serikali ilete Mawakili wenye uwezo kwenye kesi hii. Mimi ni layman katika sheria lakini kwa uelewa wangu Serikali ijipange sana.
 
Balaa la leo la Mtobesya sidhani kama hii kesi itaendelea , unaambiwa ni aibu kubwa !

 
Kwa kifupi tu ni kuwa sheria zetu zina asili ya mfumo wa kisheria wa uingereza ambao walitutawala baada ya wajerumani. Mfumo wa common law unatumiwa takribani nchi zote ambazo muingereza alitawala. Ambapo lugha ya kimahakama ni kiingereza.

Kwa hivyo hata wasomi wa sheria hufundishwa concepts za law kwa lugha ya kiingereza ambako sheria na kanuni hizo zilikotokea.

Waingereza nao kwenye sheria walirithi baadhi ya mambo toka kwa Walatini....ndiyo maana hadi leo taaluma ya sheria kwa sehemu kubwa imebeba mizizi ya mambo ya kirumi.

Kuna baadhi ya concepts za kusheria ni ngumu kupata visawe vyake kwa lugha ya Kiswahili...

Suala la kuruhusu matumizi ya sheria kuwa kiswahili yalipaswa yaende kwa phase...si overnight changes. Kwanza wangeanza na kuratibu ufundishaji wa taaluma hiyo kwa kiswahili toka ngazi ya Cheti hadi Shahada na kule Chuo cha mafunzo ya sheria kwa vitendo.

Hauwezi kuandaa wanataaluma kwa kiingereza halafu waje wa practice kwa kiswahili.
 

Our judicial sytem is rotten , Majaji wetu wako hand picked , Angalia jirani zetu wanavyochagua jaji mkuu wao
 
sorry is it learned council or legal council
 
Malayer utoplo wamejaa tele, wanabonga kiswahili tu
 
Unayosema kuhusu quality ya hawa state attorneys ni kweli, wengi wao ni quality ya chini sana; hata mimi niliwahi kufuatilia kesi mojawapoa nikaona udhaifu huo. Hata hivyo, kushinda kesi huwa hakutokani na uwezo wa mawakili kuongea vizuri bali hutokana na facts wanazopresent mbele ya mahakama hata kwa kutumia lugha dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…