Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Me nilijua Bilivia na Venizuala ni nchi 2 tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nchi mbili tofauti labda mtoa mada amekoseaMe nilijua Bilivia na Venizuala ni nchi 2 tofauti
Ni nchi mbili tofauti labda mtoa mada amekosea
Na Mimi pia mkuuNitaanza kufanyia tagging, ndio nimepokea kibali chako. [emoji2]
Itabidi uchelewe kidogo kufika ili nami niendelee kujifunza mengi kuhusu nchi hii 😂Nikifika Mozambique Virtual Tour utatupatia mengi zaidi.
Hapo aisee hata miee niko njia pandaNashangaa kuiita Jamhuri ya "Bolivia ya Venezuela"
Jina rasmi na linalotambulika kimataifa sio Tanzania hakuna taifa linaitwa Tanzania bali "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"Ni nchi mbili tofauti labda mtoa mada amekosea
Sawa sawa San Diego "Sandiego"Na Mimi pia mkuu
Nimewapitia jawabu sasaHapo aisee hata miee niko njia panda
Ngoja kutuelimishaa
Nimewahi kufikia Physically and I've got sister there zamu hii nafika Virtually. Usihofu nitachelewa bado nipo Latin x Amerika. 😊Itabidi uchelewe kidogo kufika ili nami niendelee kujifunza mengi kuhusu nchi hii 😂
Nalog off
Nimekupata mkuu hiyo Bolivia iliwaunganisha kvp apo ndo cjakusomaJina rasmi na linalotambulika kimataifa sio Tanzania hakuna taifa linaitwa Tanzania bali "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Vivyo hivyo Venezuela ni initial jina rasmi ni "Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela" hii imetokana na mataifa ya ukanda huu kuipatia heshima iliyokuwa Bolivia iliyowaunganisha.
Bolivia unayoisema wewe ni "Plurinational State of Bolivia" au "Estado Plurinacional de Bolivia" ndivyo inavyotambuliwa kimataifa.
Unaposema Manchester bila kumalizia Football Club, kama sio mpenzi wa mpira nitafahamu unaeleza Manchester mji uliopo Uingereza.
Ni nchi mbili tofauti labda mtoa mada amekosea
N
Nimekupata mkuu hiyo Bolivia iliwaunganisha kvp apo ndo cjakusoma
Ni Bolivarian siyo Bolivia, hiyo Bolivarian ni falsafa na mfumo (kama ilivyokuwa ujamaa) iliyoanzishwa na Chaves 1999.Me nilijua Bilivia na Venizuala ni nchi 2 tofauti
Niliwahi kusikia mahali kuwa bongo wanampango wa kuanzisha mahusiano ya kibalozi huko.Nimewahi kufikia Physically and I've got sister there zamu hii nafika Virtually. Usihofu nitachelewa bado nipo Latin x Amerika. 😊
Hii ni kutokana mVenezuela, Simón José Antonio de la Santísima Trinidad Bolívar y Palacios Ponte-Andrade y Branco simply Simón Bolívar kuzipambania Venezuela, Bolivia, Colombia, Panama na Peru kutoka katika ukoloni wa Uhispania.Nimekupata mkuu hiyo Bolivia iliwaunganisha kvp apo ndo cjakusoma
Kwa KiSwahili Bolivarian ni nini?Ni Bolivarian siyo Bolivia, hiyo Bolivarian ni falsafa na mfumo (kama ilivyokuwa ujamaa) iliyoanzishwa na Chaves 1999.
Niliwahi kusikia mahali kuwa bongo wanampango wa kuanzisha mahusiano ya kibalozi huko.
Jina hilo limetoholewa kutoka kwa Simón Bolívar, mwanamapinduzi wa nchi hiyo wa karne ya 19. Bolivarian ni mfumo unaowajali masikini.Kwa KiSwahili Bolivarian ni nini?
Ndivyo ilivyo sasa ila nilimsikia Dr. Mahiga (RIP) akiliongelea hilo wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.Mahusiano ya kibalozi yanatokea Cuba, US na Brasil. Tanzania inapitia Nairobi au Pretoria.
Zanzibar to Caracas - $505 - $1,706Hivi nauli ya kwenda huko ni kiasi gani nikajilipue kwa totoz za kilatinoz?
Pitia juu nilieleza hilo la Simón Bolívar.Jina hilo limetoholewa kutoka kwa Simón Bolívar, mwanamapinduzi wa nchi hiyo wa karne ya 19. Bolivarian ni mfumo unaowajali masikini.
Ndivyo ilivyo sasa ila nilimsikia Dr. Mahiga (RIP) akiliongelea hilo wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.
Zanzibar to Caracas - $505 - $1,706
Dar es Salaam to Caracas - $467 - $1,508
Kilimanjaro to Caracas - $718 - $2,421
Nairobi to Caracas - $705 - $1,660
Route zimeunganishwa!
Kujumuisha watu wenye asili mbalimbali.Umejiuliza kwa nini Boliva (Halisi) inajiita "Plurinational State of Bolivia"?