Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

Mlipaswa muache kesi isikilizwe on merit..
msinge challenge hati za mashtaka kupelekea baadhi ya makosa kufutwa.....
mapungufu hayo mawakili wenu wangeyaleta kwenye final submission.....
ona sasa kesi haiendelei mpaka rufaa isikilizwe!!??
 
Safi sana serikali kumbe bado ipo imara. Gaidi ni gaidi tu
 
Kama Ni kweli ndio walisababisha Ile mioto na Yale maumivu, serikali imefanya Jambo jema
 
Na waliwekwa ndani na marais waislam.
 
Na yule Gaidi aliye tupa bomu Kanisani Arusha Bwana..... Yupo Gereza gani? Watanzania wote tunajua kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi wakati huo Mh. Emanuel Nchimbi akiwa Bungeni alitangaza kuwa lile ni tukio la Kigaidi, na sote tunafahamu kuwa yule aliye fanya tukio ni Muislaam. Kama kweli serekali ipo, yule Bwana.... Yupo Gereza gani? Majibu tafadhali
Safi sana serikali kumbe bado ipo imara. Gaidi ni gaidi tu
 
Waislaam hawataki huruma katika hili, tunataka haki itendeke. Mahakama iachwe ifanye Kaz yake ili dunia ijue nini kilitokea na kwa nini walipewa tuhuma hizo
Hawa jamaa nao hawawezi kumuabudu Mungu wao , mpaka wawafitini watu wa madhehebu mengine ?!.

Anyway. All in all wahukumiwe ili wasi na hatia warudi nyumbani.
 
Huku Una huruma ?!. Si ndiyo wewe unaeshabikia udhalimu wa serikali ?!. Au kwa Cdm ni mkuki kwa nguruwe ?!.
chadema ni wahuni tena ni wahuni sana hao mashehe walitenda makosa lakini wameshajifunza lakini chadema ni donda ambalo haliponi hawajifunzi
 
Kijana, pamoja na uislam wangu siwezi kuwa na huruma na gaidi
 
Kama kweli walifanya vitendo ya kigaidi wanastahili vifungo kwa mujibu wa sheria.

Ogopa ugaidi ni hatari ,just imagine WTC ilivyoshuka na kuua watu 3000+ ,kama kweli walifanya vitendo vya ugaidi waendelee kusota tu mahabusu ila kama si kweli watatoka tu maana ushahidi utakuwa hakuna.
 
Ila hawa jamaa wakiachiwa sijui wataibuka na kitu gani. Wakitoka wawe chini ya uangalizi hata kwa miezi sita.
 
Nilishakataa mambo ya mihemko na uanaharakati, kupambana na kupigana na Jamhuri.
Kila siku unawasikia majukwaani tutaulinda muungano kwa gharama zote. Na serikali ya CCM inaonekana katika hili halitanii, linakupoteza mazima.

Sasa mahakama ya rufani miaka mingine mitatu ya kusota, Jamhuri ina mkono mrefu. Wakija kutoka hawataruhusiwa kukaa hata vikao vya familia.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wewe sema Una CHUKI zako binafsi.kushangilia ushindi NI kosa?.
HAO mawakili wa serikali miaka yote wameshindwa kupeleka ushahidi wa kuwafunga?
Wana wamekata Rufaa

Na nyie mlizidi...mlishangilia ushindi wa yale mashitaka yaliyotolewa mapema.....

Angalia sasa wanakatia rufaa ngoma ianze upyaa....
 
Halafu mwisho wa siku kabla Rufaa haijaanza kusikilizwa serikali wanasema wanaondoa rufaa yao, mnarudi tena kusikiliza kesi ya msingi.

Kwenye kesi mojawapo ya former mbunge Lema, Jaji aliwafokea sana Serikali kuwa wasitumie RUFAA kama fimbo ya kuwapigia watuhumiwa, yaani kuwapotezea muda huku hawana hoja za maana za rufaa. Mfano kwa masheikh hapo utakuta unapita mwaka mzima ndio rufaa isikilizwe halafu mwaka mwingine tena kusikiliza kesi baada ya rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…