Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

Kwa hio mama Samia anafurahia kuona mashehe wake wanaendelea kusota lupango.

Aaaa nilisahau yeye na meko ni mwili mmoja
 
Kwa hio mama Samia anafurahia kuona mashehe wake wanaendelea kusota lupango.

Aaaa nilisahau yeye na meko ni mwili mmoja
KWANI MAMA NDIYO ALIWAFUNGA AU WALIKAMATWA KWENYE KIPINDI CHAKE HATA MAGUFUI HAHUSIKI
 
Hii kesi ipo kimataifa zaidi, serikali ya JMT kuipuuza kesi hii au kuwasamehe hawa Masheikh ni kujenga Uhasama na USA pamoja na UN

US na UN watchers wanawatega tu viongozi wa Bongo kupima maamuzi yao juu ya hawa Magaidi walioratibu umwagiaji wa Watalii na raia wengine tindikali

Pia hawa ni Maadui hata wa Waislam wenzao wa BAKWATA na BALUKTA wapenda Amani, ila waislam wa huku wafuata mkumbo hawajui hilo

Wanataka kusimamisha dola yao inayopingana na zote Tanzania na ni hawahawa waliosumbua sana watalii kule Mombasa

Wanapigana Jihad Ugoro
 
Swali dogo tu mnashindwa kujibu, Yule Aliye tupa Bomu Kanisani Arusha yupo Gereza gani? Au kwa sababu sio muislaam yeye akifanya Ugaidi ni Sawa?
 
Swali dogo tu mnashindwa kujibu, Yule Aliye tupa Bomu Kanisani Arusha yupo Gereza gani? Au kwa sababu sio muislaam yeye akifanya Ugaidi ni Sawa?
ndugu nadhani utakuwa na kitu unajuwa je? kwani uliambiwa huyo mtu aliachiwa huru kwakuwa siyo mwislamu? je hujui kuwa huko arusha kuna watu wengine wanashikiliwa kwa suala hilo la ugaidi?
 
2021 bado unaamini WTC ni shambulia la kigaidi? Like seriously???
 
Swali ni dogo tu jamani, kama kweli sio chuki dhidi ya waislaam na uislaam tunaomba jibu.

Yule aliye tupa Bomu Kanisani Arusha yupo Gereza gani? Au kwa sababu sio muislaam yeye akifanya Ugaidi ni Sawa?
Mtaje jina acha uoga wengine hatumjui
 
Swali dogo tu mnashindwa kujibu, Yule Aliye tupa Bomu Kanisani Arusha yupo Gereza gani? Au kwa sababu sio muislaam yeye akifanya Ugaidi ni Sawa?
Unaniuliza habari isiyonihusu Mimi na isiyohusiana na mada iliyopo mezani

Umeleta mada inayohusiana na Masheikh wa UAMSHO Zanzibar halafu unauliza habari ya Gaidi aliyetupia Bomu kanisani Arusha, wapi na wapi?

Anzisha mada yake hiyo, kwasasa jadili mada iliyopo mezani acha kisebusebu
 
Swali ni dogo tu jamani, kama kweli sio chuki dhidi ya waislaam na uislaam tunaomba jibu.

Yule aliye tupa Bomu Kanisani Arusha yupo Gereza gani? Au kwa sababu sio muislaam yeye akifanya Ugaidi ni Sawa?
Na yule aliyeuwawa pale mbele ya miserani alikuwa nani maana naona munajidanganya Ili mushabikie ugaidi
 
Hata kama walitaka kuasi ifike mahali utu wa mtu uheshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…