Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
- Thread starter
-
- #81
Unaniuliza habari isiyonihusu Mimi na isiyohusiana na mada iliyopo mezani
Umeleta mada inayohusiana na Masheikh wa UAMSHO Zanzibar halafu unauliza habari ya Gaidi aliyetupia Bomu kanisani Arusha, wapi na wapi?
Anzisha mada yake hiyo, kwasasa jadili mada iliyopo mezani acha kisebusebu
Sawa mamaDogo Tulia.
Sana, hasa huko Mombasa kulitangazwa sana mauaji waliofanya hawahawa miaka ileWaliuwa ?
Hivi unaelewa kweli? Hii mada inahusu Ugaidi wa Arusha?Najua hamuwezi kujibu, Katika mijadala hii inayo gusa itikadi za kidini ninyi huwa mnaongozwa na chuki dhidi ya waislaam na uislaam. Ndio maana unawahukumu washukiwa wakati Tukio halisi la Kigaidi lilifanyika Arusha na Waziri Emanuel Nchimbi akatangaza kuwa ni tukio la Kigaidi ila kwa sababu aliye husika sio Muislaam mpo kimya.
Walihamasisha Nini pleaseHao bado sana, maana walichokuwa wanakihamasisha kilikuwa ni kibaya sana
Ivi mkuu uamsho maana yake niniwale wa Uamsho?
Uamsho maana yake nini mkuuWalihamasisha Nini please
Sina chuki nao ila nachukia vitendo vyao. Wakiwa wengi tu wanapitisha sharia zao. Ushawahi kuhudhuria kwenye mahubiri ya kiislam ya mijadala? Wameweka mjadala kabisa kuhusu uchambuzi wa Biblia na Quran.
Ndio hawa walitaka ndoa yetu na Zanzibar ivunjike?Hao bado sana, maana walichokuwa wanakihamasisha kilikuwa ni kibaya sana
Wametiwa hatiani na hakimu gani? Na kwa kosa gani?DU aisee wangewasamehe sasa wamekosa lakini wamejifunza pia
Hata sijamaliza kusoma uliposema ni dini ya haki. Shida inaanzia hapa kujiona nyinyi ni mko kwenye haki kuliko wengine. Kama Zanzibar mtu unakula hotelini au mgahawani unashangaa, wafuasi wa dini fulani wamekuvaaTatizo lako unatuhumu waislamu magaidi wakati huo huna ushahidi, ukiombwa unajiumauma.
Kuhusu mijadala ya dini baina ya wakristo na waislamu na kuwatoa kwenye ujinga na kuwaingiza kwenye dini ya haki, je! Kuna tatizo? Tena kwa ridhaa yao baada ya kuuona ukweli na hakuna anaewalazimisha kusilimu.
Au baada ya kuona mijadala hiyo ndio sababu ya ya kuwatoa kwenye ujinga, na maelfu ya wanakondoi wakisilimu ndio mkatafuta njia nyingine ya kuwapakazia! Hatari sana,.. niliwahi kusikia mijadala ilipigwa marufuku, nishajua sababu nini.
Refe; akina profesa mazinge, mawlay, kinyogori n.k, katika mijadala yao miaka na miaka wanaifanya hiyo kazu, je! ushawahi kusikia wamelipua sehemu yoyote, au hata tetesi tu!!!! Akili zingine bwana, unabaki unacheka ππ
Uislam?Tatizo lako unatuhumu waislamu magaidi wakati huo huna ushahidi, ukiombwa unajiumauma.
Kuhusu mijadala ya dini baina ya wakristo na waislamu na kuwatoa kwenye ujinga na kuwaingiza kwenye dini ya haki, je! Kuna tatizo? Tena kwa ridhaa yao baada ya kuuona ukweli na hakuna anaewalazimisha kusilimu.
Au baada ya kuona mijadala hiyo ndio sababu ya ya kuwatoa kwenye ujinga, na maelfu ya wanakondoi wakisilimu ndio mkatafuta njia nyingine ya kuwapakazia! Hatari sana,.. niliwahi kusikia mijadala ilipigwa marufuku, nishajua sababu nini.
Refe; akina profesa mazinge, mawlay, kinyogori n.k, katika mijadala yao miaka na miaka wanaifanya hiyo kazu, je! ushawahi kusikia wamelipua sehemu yoyote, au hata tetesi tu!!!! Akili zingine bwana, unabaki unacheka [emoji2][emoji2]