Kuwaita mishangazi sio kwa ubaya, ni neno tu lisilo rasmi likimaanisha mwanamke aliekuzidi umri especially mwenye mwili mkubwa(tandam)!!Kwanini mnawaita mishangazi......ili ni wanawake kama wanawake wengine na wana akili kubwa ya kuchagua walitakalo
Ewaaaaaa you understood the assignment [emoji28][emoji1786]
Pale ambapo mnajaribu kuwanyima amani ya moyo wale waliochagua fungu hilo kwa fikra zenu hapo ndipo ukakasi unapo anziaNipe u-ovu wake ha u-hasi wake.
HahahaKuwaita mishangazi sio kwa ubaya, ni neno tu lisilo rasmi likimaanisha mwanamke aliekuzidi umri especially mwenye mwili mkubwa(tandam)!!
Kasheshe linaanza unapochukua hatua za kujikabidhi kwa Mungu wewe na uyo mwenzi wako wa kike aliekuzidi umri lazima utakutana na jamii ndiyo inayokufanya mkosefu sasaKama unaingia kwenye mahusiano ili kuifurahisha jamii lazima yakukute, ila kama ni ili kuilizisha nafsi yako ata wala haina shida.
Unakoelekea, utatumia the same reasons kutaka ndoa za jinsia mojaPale ambapo mnajaribu kuwanyima amani ya moyo wale waliochagua fungu hilo kwa fikra zenu hapo ndipo ukakasi unapo anzia
HAPANA kubwa mkuu.......tema mate chini mkuu alooo!!Unakoelekea, utatumia the same reasons kutaka ndoa za jinsia moja
Jamii inabidi ielewe kuwa watu(sio wote) wamechoka na drama za vibinti ndio maana wanakimbilia tulizo kwa mashangazi.Kasheshe linaanza unapochukua hatua za kujikabidhi kwa Mungu wewe na uyo mwenzi wako wa kike aliekuzidi umri lazima utakutana na jamii ndiyo inayokufanya mkosefu sasa
Miez😳 au umesema miaka 7?Mkuu mim.hap ninaukakasi kuhus jambo lako bora hat umelisemea maan.nampenda bidada mmoja lakin.kanizid miez kadhaa nikirudi nyuma naona jamii itanichukulia veep nikimchukua lkn.pitia ww ninanguv mpya
Of cozJamii inabidi ielewe kuwa watu(sio wote) wamechoka na drama za vibinti ndio maana wanakimbilia tulizo kwa mashangazi.
Uko sahihi mkuu tena jivunie hilo lakini isiwe sababu ya kuwaona wanaofanya kinyume na wewe kama wanakosea ilo ndio lengo la uzi mkuu ....tuache kuwapangia watu mfumo wa maishaKweli tunatofautiana sana...mkuu mi napenda ni engage kwenye mahusiano na mwanamke niliye mzidi umri walau miaka 5 na kuendelea
Tandam🤣Kuwaita mishangazi sio kwa ubaya, ni neno tu lisilo rasmi likimaanisha mwanamke aliekuzidi umri especially mwenye mwili mkubwa(tandam)!!
Same hereKweli tunatofautiana sana...mkuu mi napenda ni engage kwenye mahusiano na mwanamke niliye mzidi umri walau miaka 5 na kuendelea
Napokea salamu fundi wangu mkuu kabisa...niko njemaSalamu nyingi sana zikufikie popote ulipo fundi mkuu wangu ,Mimi ni mzima wa afya.
Miezi tu? Kama kweli unampenda kuwa nae. Ukifuata jamii itakuonaje hutakaa ufanye lolote. Zamani nilikua na huu mtazamo mpaka yaliponikuta nilimpenda mwanaume namzidi miaka 3 na nipo nae hadi sasa. Kwa hiyo rafiki amua maisha yako bila kuwaza nani atakufikiria vipi.Mkuu mim.hap ninaukakasi kuhus jambo lako bora hat umelisemea maan.nampenda bidada mmoja lakin.kanizid miez kadhaa nikirudi nyuma naona jamii itanichukulia veep nikimchukua lkn.pitia ww ninanguv mpya
HakikaKama unaingia kwenye mahusiano ili kuifurahisha jamii lazima yakukute, ila kama ni ili kuilizisha nafsi yako ata wala haina shida.