Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

Kama unaingia kwenye mahusiano ili kuifurahisha jamii lazima yakukute, ila kama ni ili kuilizisha nafsi yako ata wala haina shida.
Kasheshe linaanza unapochukua hatua za kujikabidhi kwa Mungu wewe na uyo mwenzi wako wa kike aliekuzidi umri lazima utakutana na jamii ndiyo inayokufanya mkosefu sasa
 
Kasheshe linaanza unapochukua hatua za kujikabidhi kwa Mungu wewe na uyo mwenzi wako wa kike aliekuzidi umri lazima utakutana na jamii ndiyo inayokufanya mkosefu sasa
Jamii inabidi ielewe kuwa watu(sio wote) wamechoka na drama za vibinti ndio maana wanakimbilia tulizo kwa mashangazi.
 
Mkuu mim.hap ninaukakasi kuhus jambo lako bora hat umelisemea maan.nampenda bidada mmoja lakin.kanizid miez kadhaa nikirudi nyuma naona jamii itanichukulia veep nikimchukua lkn.pitia ww ninanguv mpya
Miez😳 au umesema miaka 7?
 
Kweli tunatofautiana sana...mkuu mi napenda ni engage kwenye mahusiano na mwanamke niliye mzidi umri walau miaka 5 na kuendelea
Uko sahihi mkuu tena jivunie hilo lakini isiwe sababu ya kuwaona wanaofanya kinyume na wewe kama wanakosea ilo ndio lengo la uzi mkuu ....tuache kuwapangia watu mfumo wa maisha
 
Mkuu mim.hap ninaukakasi kuhus jambo lako bora hat umelisemea maan.nampenda bidada mmoja lakin.kanizid miez kadhaa nikirudi nyuma naona jamii itanichukulia veep nikimchukua lkn.pitia ww ninanguv mpya
Miezi tu? Kama kweli unampenda kuwa nae. Ukifuata jamii itakuonaje hutakaa ufanye lolote. Zamani nilikua na huu mtazamo mpaka yaliponikuta nilimpenda mwanaume namzidi miaka 3 na nipo nae hadi sasa. Kwa hiyo rafiki amua maisha yako bila kuwaza nani atakufikiria vipi.
 
Back
Top Bottom