Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bado hujaibiwa ukamkamata mwizi wako halafu polisi wakamwachia kimazabe mazabeUkifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine.
Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi.
Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana misukule, chuma ulete ni jambo la kawaida sana.
Watu hao hawaijui report ya CAG, hawaijui hata bajeti ya wizara Moja. Mabilioni yanayochotwa na mafisadi wala hawana mpango nao ila mwizi wa kiswaswadu watamchoma moto haraka.
Hivi nchi hii kuna jamii yenye roho mbaya na umasikini wa fikra kama polisi na wana ccmMi kibaka akiniibia akatokomea nisikopaelewa aende tu salama, alichoniibia nitanunua kingine kizuri zaidi. Na nikimkamata atapata adhabu ndogo ya kumchapa viboko na makofi ya kutosha kisha namkabidhi polisi akiwa hana majeraha makubwa na ni mzima polisi wakashughulike nae kama watamuachia ni hiari yao. Wale wanaochoma mtu moto na kumuua ni washenzi na wasiokuwa na roho ya ubinadamu
Mwizi hafai popote tena hawa wa kutumia silaha bora hao wanaojipigia kwa kalamu japo mwizi ni mwizi tuBado hujaibiwa ukamkamata mwizi wako halafu polisi wakamwachia kimazabe mazabe
Sure mwizi hatakiwi kuachwa hai.Mwizi hafai popote tena hawa wa kutumia silaha bora hao wanaojipigia kwa kalamu japo mwizi ni mwizi tu
Wawape soseji na uji wa lishe kisha kuwaambia "watoto wazuri msirudie tena, sawa eeh?!"... 🤣🤣Kheeee 🤣🤣🤣 toa mapendekezo kutibu jamii hizo.
Wakikamata wezi wawafanyie nini??