Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine.
Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi.
Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana misukule, chuma ulete ni jambo la kawaida sana.
Watu hao hawaijui report ya CAG, hawaijui hata bajeti ya wizara Moja. Mabilioni yanayochotwa na mafisadi wala hawana mpango nao ila mwizi wa kiswaswadu watamchoma moto haraka.
Una hoja usikilizwe.
 
siku ukibananishwa nakabari yambao kifuani ukashindwa kupumua Chupuchupu kufa

hukutambolako na Pochi lahela limeenda ukashushiwa kipigo juu

wewe mwenyewe ndio utakuja namtazamo mpya kuhusu hao wezi

hao unaohisi hawana rohombaya wanatembea namiguu yakuku kiunoni sime kwenye roof yagari

Sasa jichanganye kwake uone anakufumua ubongo hajishauri marambili

mtuanaweka electric fence wewe kama mgeni ukijichangnya kugonga geti asubuhi namapema unakufa kwa shoti huyo anaroho mbaya hana?

achakuishi kwamihemko fala wewe kuwaita watu wachawi.

nenda kaibe Masaki huko uone mtummoja tuu anakumaliza kwashaba.huhitaji kupigwa kelele zamwizi.
kilasehemu wachawi na wenye rohosafi wapoo bwegee wewe
 
NJIA PEKEE YA WATU KUTO KUKUCHUKULIA SHERIA MIKONONI MWAO, ACHA KUIBA VYA KWAO!
KWANI NAWE UNAJICHULIA SHERIA MIKONONI KUIOBA VYA WENGINE(AU KUNA SHERIA YA WATU KURUHUSIWA KUIBA?)
 
Kwa sababu huwezi kupanda njegere utegemee kuvuna maharage
Vibaka wanaenda kuvamia watu kwa kutumia mapanga nondo marungu bisibisi nyembe jeki visu
So kwa mantiki hiyo wakidakwa acha silaha kama zao zitumike kuwaadhibu
Sure mwizi hatakiwi kuachwa hai.
 
NJIA PEKEE YA WATU KUTO KUKUCHUKULIA SHERIA MIKONONI MWAO, ACHA KUIBA VYA KWAO!
KWANI NAWE UNAJICHULIA SHERIA MIKONONI KUIOBA VYA WENGINE(AU KUNA SHERIA YA WATU KURUHUSIWA KUIBA?)
Eti sijui anataka watu wakamate mwizi wampeleke malaika Beach ⛱️⛱️⛱️ resort akapunge upepo utavuna ulichopanda ukiiba ukidakwa kupelekwa kwa Sir God ni halali
 
siku ukibananishwa nakabari yambao kifuani ukashindwa kupumua Chupuchupu kufa

hukutambolako na Pochi lahela limeenda ukashushiwa kipigo juu

wewe mwenyewe ndio utakuja namtazamo mpya kuhusu hao wezi

hao unaohisi hawana rohombaya wanatembea namiguu yakuku kiunoni sime kwenye roof yagari

Sasa jichanganye kwake uone anakufumua ubongo hajishauri marambili

mtuanaweka electric fence wewe kama mgeni ukijichangnya kugonga geti asubuhi namapema unakufa kwa shoti huyo anaroho mbaya hana?

achakuishi kwamihemko fala wewe kuwaita watu wachawi.

nenda kaibe Masaki huko uone mtummoja tuu anakumaliza kwashaba.huhitaji kupigwa kelele zamwizi.
kilasehemu wachawi na wenye rohosafi wapoo bwegee wewe
Labda ni mdhamini wa magenge ya vibaka huyo
 
Uje kwangu, uchukue jeki, utanue nondo.. uingie ndani, usafishe geto langu lote, alafu kesho urudi mara ya pili.. alafu nikukamate/nikudake.. "hiiii Bhanghosha..."
Putin aliwahi kusema kazi ya kuwasamehe magaidi ni kazi ya Mungu ila kazi ya kuwapeleka magaidi kwa Mungu ni kazi yake
So kazi ya kuwasamehe vibaka na majambazi ni ya Mungu ila kazi ya kuwapeleka kwa Mungu ni ya wananchi
 
Ewaa... sisi tunafanikisha logistics tu za hapa na pale..
 
Mi kibaka akiniibia akatokomea nisikopaelewa aende tu salama, alichoniibia nitanunua kingine kizuri zaidi.

Na nikimkamata atapata adhabu ndogo ya kumchapa viboko na makofi ya kutosha kisha namkabidhi polisi akiwa hana majeraha makubwa na ni mzima polisi wakashughulike nae kama watamuachia ni hiari yao. Wale wanaochoma mtu moto na kumuua ni washenzi na wasiokuwa na roho ya ubinadamu
Ngoja siku ile rinda litatatuliwa😆
 
Back
Top Bottom