Unajua unachokiongea? Wahazabe wote wasem wnataka kuishi vileWahadzabe wakisema kwamba wao kuishi vile ni haki yao, utawakatalia?
Dudukwe ndio nani mkuu ni kiongozi wao?Huyo Dudukwe washaanza kumvalisha hadi kofia 🤣🤣
Ndo celebrity huko kwa wahadzabe ahua hadi kupiga zeze 🤣🤣Dudukwe ndio nani mkuu ni kiongozi wao?
Punde watahamishiwa KIEMBE SAMAKI kama wale jirani waliotolewa Ngorongoro na kupelekwa Handeni.Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe
Wageni wengi wanaokuja kuwaona na hata wenyeji wanaowaongoza hao wageni kutokea mijini hutambulisha vitu visivyo vya msingi kabisa kama vinywaji vya kusindika vyenye kemikali na mivyakula yenye sumu za viwandani kadhalika na mavazi ambayo hayana tija kwa jamii hiyo. Ninachoona si kwamba jamii hii haijui chochote kuhusu ulimwengu wa kisasa maana wao pia huku manyara huonekana kwenye minada mingi sana wakiuza zana za kuwindia na wao kupata bidhaa zingine, ila ninachoamini ni kuwa waliamua kwa dhati kujitenga na ulimwengu huu wa kisasa ili waishi kwa namna watakavyopendezwa wao
Muingiliano huu wa jamii ya hadza na watu kisasa unahatarisha hata kingamwili zao na harakati zao za kawaida kwa kuwa ni kama wanabugudhiwa na hawa watu wanaowatembelea na kuwapa vitu vigeni bila utaratibu maana hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wako huru nje ya magonjwa tunayopambana nayo huku mjini kwa hiyo Wana kingamwili zao binafsi hivyo kuruhusu watu wawatembelee kiholela kunaweza kuhatarisha ustawi wai na mtindo mzima wa maisha yao
Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya maliasili na hata wizara ya mambo ya ndani ninaomba waweke marufuku au taratibu Kali au ikiwezekana kutoruhusu kabisa kuwasumbua wahadzabe kwa kuwa hawa jamaa ni moja ya jamii adhimu sana duniani ambazo zineamua kuishi utaratibu wao binafsi
Leo hii Afrika kusini amebakia mtu mmoja tu ambaye anatenda tamaduni za Khoisan naye ni mzee sana kwa kuwa jamii yao hao watu imeshamezwa na usasa. Hakuna faida yoyote wanayopata wahadzabe kwa kuingiliana na watu mjini au wa nje ya nchi zaidi ya hao watu kuwatumia kwa maudhui yao ya mtandaoni na kujitengenezea umaarufu na kipato huku wakiwaharibia mazingira na tamaduni zao
SERIKALI IWAPIGE MARUFUKU WATU WOTE WANAWAKARIBIA WAHADZABE
Kama wao wameamua kuishi hivyo, kwa nini wewe unataka kuingilia uhuru wao wa kuishi hivyo wanavyoishi?Unajua unachokiongea? Wahazabe wote wasem wnataka kuishi vile
Kwamba hawatak wajemgew hospital wapate hudum wakiwa wanaumwa
Au kuwa unataka walale maporini mvua za kwao joto la kwao
Hutaki wapate huduma za maji safi na salama
Hata wewe unaweza kuamua ukaishi porini uache kitumia Jamiiforum, unaweza amua ukiumwa usiende hospital ukatafute mizizi. Unaweza acha kutumia maji Dawasco ukatumia maji mqchafu yaliotuama ya mvua, vile vile unaweza hata kuacha ku reply humu, kwa nini uandike jifunze kuishi kama wahazabe. .
Iii kam' a atii, Monte laa I Dudukwee Apii okoo.Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe
Wageni wengi wanaokuja kuwaona na hata wenyeji wanaowaongoza hao wageni kutokea mijini hutambulisha vitu visivyo vya msingi kabisa kama vinywaji vya kusindika vyenye kemikali na mivyakula yenye sumu za viwandani kadhalika na mavazi ambayo hayana tija kwa jamii hiyo. Ninachoona si kwamba jamii hii haijui chochote kuhusu ulimwengu wa kisasa maana wao pia huku manyara huonekana kwenye minada mingi sana wakiuza zana za kuwindia na wao kupata bidhaa zingine, ila ninachoamini ni kuwa waliamua kwa dhati kujitenga na ulimwengu huu wa kisasa ili waishi kwa namna watakavyopendezwa wao
Muingiliano huu wa jamii ya hadza na watu kisasa unahatarisha hata kingamwili zao na harakati zao za kawaida kwa kuwa ni kama wanabugudhiwa na hawa watu wanaowatembelea na kuwapa vitu vigeni bila utaratibu maana hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wako huru nje ya magonjwa tunayopambana nayo huku mjini kwa hiyo Wana kingamwili zao binafsi hivyo kuruhusu watu wawatembelee kiholela kunaweza kuhatarisha ustawi wai na mtindo mzima wa maisha yao
Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya maliasili na hata wizara ya mambo ya ndani ninaomba waweke marufuku au taratibu Kali au ikiwezekana kutoruhusu kabisa kuwasumbua wahadzabe kwa kuwa hawa jamaa ni moja ya jamii adhimu sana duniani ambazo zineamua kuishi utaratibu wao binafsi
Leo hii Afrika kusini amebakia mtu mmoja tu ambaye anatenda tamaduni za Khoisan naye ni mzee sana kwa kuwa jamii yao hao watu imeshamezwa na usasa. Hakuna faida yoyote wanayopata wahadzabe kwa kuingiliana na watu mjini au wa nje ya nchi zaidi ya hao watu kuwatumia kwa maudhui yao ya mtandaoni na kujitengenezea umaarufu na kipato huku wakiwaharibia mazingira na tamaduni zao
SERIKALI IWAPIGE MARUFUKU WATU WOTE WANAWAKARIBIA WAHADZABE
Ni vile hujawahi onja ndio maana unasema hivyoYule mpishi anavyolamba mwiko hapana kwakweli, halafu wanapika utumbo wa Nyani ptyuuu .!!
Hapo umejumuisha fikra zako kuamini wahadzabe hawana Sheria, una ushahidi? Kama jamii yako "civilized" ina Sheria ni kipi kiwafanye wahadzabe wakose. Sheria?Unajua maana ya savages, wahazabe hakuna hata sheria. Leo hii unaweza kuuliwa na mwenzako na mkono wa sheria usikuhusu
Unaweza kunyangany mali mwanamke au ubabe tu hata chakula kwa sababu wewe una nguvu zaidi
Civilizations is the best thing that haplened to human kind
Mjinga ndio atakeyesema turudi tulipotoka. Leo we have best housing, best medical care, we travel, best education.....Hazabe deserve Civilizations ❤️
Supu ya kichwa cha nyani ni supu bora kuliko zoteDudukwe ana mbwembwe pale anapoonja supu🤣🤣🤣🤣😂😂😂kile kichwa anavyokipeleka upande daah hadi unaona supu zao tamu kuliko zetu
Huyo Dudukwe washaanza kumvalisha hadi kofia 🤣🤣
Sijibizani na watoto waliozaliwa kupitia Njia ya haja kubwa😂😂😂
Sijibizani na watoto waliozaliwa kupitia Njia ya haja kubwa
Dudukwe iyoooHuyo Dudukwe washaanza kumvalisha hadi kofia 🤣🤣
Dudukwe ndiyo nini?Dudukwe iyooo