Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

Wahadzabe wakisema kwamba wao kuishi vile ni haki yao, utawakatalia?
Unajua unachokiongea? Wahazabe wote wasem wnataka kuishi vile

Kwamba hawatak wajemgew hospital wapate hudum wakiwa wanaumwa

Au kuwa unataka walale maporini mvua za kwao joto la kwao

Hutaki wapate huduma za maji safi na salama

Hata wewe unaweza kuamua ukaishi porini uache kitumia Jamiiforum, unaweza amua ukiumwa usiende hospital ukatafute mizizi. Unaweza acha kutumia maji Dawasco ukatumia maji mqchafu yaliotuama ya mvua, vile vile unaweza hata kuacha ku reply humu, kwa nini uandike jifunze kuishi kama wahazabe. .
 
Unajua maana ya savages, wahazabe hakuna hata sheria. Leo hii unaweza kuuliwa na mwenzako na mkono wa sheria usikuhusu

Unaweza kunyangany mali mwanamke au ubabe tu hata chakula kwa sababu wewe una nguvu zaidi

Civilizations is the best thing that haplened to human kind

Mjinga ndio atakeyesema turudi tulipotoka. Leo we have best housing, best medical care, we travel, best education.....Hazabe deserve Civilizations ❤️
 
Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe

Wageni wengi wanaokuja kuwaona na hata wenyeji wanaowaongoza hao wageni kutokea mijini hutambulisha vitu visivyo vya msingi kabisa kama vinywaji vya kusindika vyenye kemikali na mivyakula yenye sumu za viwandani kadhalika na mavazi ambayo hayana tija kwa jamii hiyo. Ninachoona si kwamba jamii hii haijui chochote kuhusu ulimwengu wa kisasa maana wao pia huku manyara huonekana kwenye minada mingi sana wakiuza zana za kuwindia na wao kupata bidhaa zingine, ila ninachoamini ni kuwa waliamua kwa dhati kujitenga na ulimwengu huu wa kisasa ili waishi kwa namna watakavyopendezwa wao

Muingiliano huu wa jamii ya hadza na watu kisasa unahatarisha hata kingamwili zao na harakati zao za kawaida kwa kuwa ni kama wanabugudhiwa na hawa watu wanaowatembelea na kuwapa vitu vigeni bila utaratibu maana hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wako huru nje ya magonjwa tunayopambana nayo huku mjini kwa hiyo Wana kingamwili zao binafsi hivyo kuruhusu watu wawatembelee kiholela kunaweza kuhatarisha ustawi wai na mtindo mzima wa maisha yao

Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya maliasili na hata wizara ya mambo ya ndani ninaomba waweke marufuku au taratibu Kali au ikiwezekana kutoruhusu kabisa kuwasumbua wahadzabe kwa kuwa hawa jamaa ni moja ya jamii adhimu sana duniani ambazo zineamua kuishi utaratibu wao binafsi

Leo hii Afrika kusini amebakia mtu mmoja tu ambaye anatenda tamaduni za Khoisan naye ni mzee sana kwa kuwa jamii yao hao watu imeshamezwa na usasa. Hakuna faida yoyote wanayopata wahadzabe kwa kuingiliana na watu mjini au wa nje ya nchi zaidi ya hao watu kuwatumia kwa maudhui yao ya mtandaoni na kujitengenezea umaarufu na kipato huku wakiwaharibia mazingira na tamaduni zao

SERIKALI IWAPIGE MARUFUKU WATU WOTE WANAWAKARIBIA WAHADZABE
Punde watahamishiwa KIEMBE SAMAKI kama wale jirani waliotolewa Ngorongoro na kupelekwa Handeni.
 
Unajua unachokiongea? Wahazabe wote wasem wnataka kuishi vile

Kwamba hawatak wajemgew hospital wapate hudum wakiwa wanaumwa

Au kuwa unataka walale maporini mvua za kwao joto la kwao

Hutaki wapate huduma za maji safi na salama

Hata wewe unaweza kuamua ukaishi porini uache kitumia Jamiiforum, unaweza amua ukiumwa usiende hospital ukatafute mizizi. Unaweza acha kutumia maji Dawasco ukatumia maji mqchafu yaliotuama ya mvua, vile vile unaweza hata kuacha ku reply humu, kwa nini uandike jifunze kuishi kama wahazabe. .
Kama wao wameamua kuishi hivyo, kwa nini wewe unataka kuingilia uhuru wao wa kuishi hivyo wanavyoishi?
 
Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe

Wageni wengi wanaokuja kuwaona na hata wenyeji wanaowaongoza hao wageni kutokea mijini hutambulisha vitu visivyo vya msingi kabisa kama vinywaji vya kusindika vyenye kemikali na mivyakula yenye sumu za viwandani kadhalika na mavazi ambayo hayana tija kwa jamii hiyo. Ninachoona si kwamba jamii hii haijui chochote kuhusu ulimwengu wa kisasa maana wao pia huku manyara huonekana kwenye minada mingi sana wakiuza zana za kuwindia na wao kupata bidhaa zingine, ila ninachoamini ni kuwa waliamua kwa dhati kujitenga na ulimwengu huu wa kisasa ili waishi kwa namna watakavyopendezwa wao

Muingiliano huu wa jamii ya hadza na watu kisasa unahatarisha hata kingamwili zao na harakati zao za kawaida kwa kuwa ni kama wanabugudhiwa na hawa watu wanaowatembelea na kuwapa vitu vigeni bila utaratibu maana hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wako huru nje ya magonjwa tunayopambana nayo huku mjini kwa hiyo Wana kingamwili zao binafsi hivyo kuruhusu watu wawatembelee kiholela kunaweza kuhatarisha ustawi wai na mtindo mzima wa maisha yao

Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya maliasili na hata wizara ya mambo ya ndani ninaomba waweke marufuku au taratibu Kali au ikiwezekana kutoruhusu kabisa kuwasumbua wahadzabe kwa kuwa hawa jamaa ni moja ya jamii adhimu sana duniani ambazo zineamua kuishi utaratibu wao binafsi

Leo hii Afrika kusini amebakia mtu mmoja tu ambaye anatenda tamaduni za Khoisan naye ni mzee sana kwa kuwa jamii yao hao watu imeshamezwa na usasa. Hakuna faida yoyote wanayopata wahadzabe kwa kuingiliana na watu mjini au wa nje ya nchi zaidi ya hao watu kuwatumia kwa maudhui yao ya mtandaoni na kujitengenezea umaarufu na kipato huku wakiwaharibia mazingira na tamaduni zao

SERIKALI IWAPIGE MARUFUKU WATU WOTE WANAWAKARIBIA WAHADZABE
Iii kam' a atii, Monte laa I Dudukwee Apii okoo.
 
Unajua maana ya savages, wahazabe hakuna hata sheria. Leo hii unaweza kuuliwa na mwenzako na mkono wa sheria usikuhusu

Unaweza kunyangany mali mwanamke au ubabe tu hata chakula kwa sababu wewe una nguvu zaidi

Civilizations is the best thing that haplened to human kind

Mjinga ndio atakeyesema turudi tulipotoka. Leo we have best housing, best medical care, we travel, best education.....Hazabe deserve Civilizations ❤️
Hapo umejumuisha fikra zako kuamini wahadzabe hawana Sheria, una ushahidi? Kama jamii yako "civilized" ina Sheria ni kipi kiwafanye wahadzabe wakose. Sheria?
Speaking of housing, Do all civilized people live in affordable housing?
Medical care, do you have any report concerning their consequences of their medical care? Do you all people in civilization get well equipped medical care?
Travel, where do want them to travel?
Education, which education?
 
Dudukwe ana mbwembwe pale anapoonja supu🤣🤣🤣🤣😂😂😂kile kichwa anavyokipeleka upande daah hadi unaona supu zao tamu kuliko zetu
Supu ya kichwa cha nyani ni supu bora kuliko zote
 
Back
Top Bottom