ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mashoga wapo kila mahali , kwasababu yale mambo ni ya chumbani, ila kitendo cha serikali kuruhusu hawa watu kuutangaza na kuadhimisha ufiraji kwa kufanya maandamano hadharani huu ni ushetaniSiyo kweli dogo.
Mbona uarabuni wanakotumia SHARIA kuna ushoga?
Sahihi kabisaa upumbavu hautangazwiNa ndio Putin, Lisu na watu wote wenye Akili Msimamo wao ulivyo, Unachofanya chumbani kwako fanya mwenyewe, ila kubanduana kwenu huko mkafundishe watoto, kila saa mpo Barabarani watu hawahemi bila kuambiwa ushoga ni Big no.
mapadri hawapigi mitiSasa kama hupigi miti wewe huko karibu kupigwa, au unafikiri kazi ya mashine ni kutoa mkojo wa UTI tu?
Wafuasi wa Paulo utawaweza wao ndio wanaona sifa kuonyesha ushoga kama ni mzuri mbele za watu. ili wengine wapotee kama wao 😄Jambo la watu kuharibiana vinyeo unalitangaza kama kitu cha maana huu ni ushetani wa wazi wazi
Wana gongo sana mtaani huku tunaishi nao , usidanganyike , wakisha gonga Kanisa A wana amishiwa kanisa B maisha yana endelea , wengine wana jigongea masista ndani kimya kimyaaamapadri hawapigi miti
huoni hao ndugu zako katika imani huko ulaya?Tuna kimbilia wapi? Mimi niko Tanzania
sasa mbona hatuoni masista wakipata mimba kama wanapigwa miti?Wana gongo sana mtaani huku tunaishi nao , usidanganyike , wakisha gonga Kanisa A wana amishiwa kanisa B maisha yana endelea , wengine wana jigongea masista ndani kimya kimyaaa
we jamaa nomaWana gongo sana mtaani huku tunaishi nao , usidanganyike , wakisha gonga Kanisa A wana amishiwa kanisa B maisha yana endelea , wengine wana jigongea masista ndani kimya kimyaaa
Unapozungumzia haki, kwani WAKRISTO wa Iran wanahaki ganiSasa wale waislamu wana sauti gani kwa Netanyahu na serikali yake? ile nchi ni ya wayahudi ndio maana wale waislamu baadhi ya haki hawapati pamoja kwamba wapo Israel humo humo
Ndio maana Iran ni nchi ya kiislamu hakuna paredi la Mashoga hata kama kuna wanaofanya ushogaUnapozungumzia haki, kwani WAKRISTO wa Iran wanahaki gani
Wewe ndio huoni, salomia watu uonyeshwe, kuna jamaa alikichafua Arusha balaaaa akapelekwa mkoa fulani hivi, huko napo kama kawaidasasa mbona hatuoni masista wakipata mimba kama wanapigwa miti?
Wana wafata Wazungu kwenye ushoga wao, Saudi Arabia na Iran hakuna upumbavu huuWanamfuata mtume wao kwa vitendo.
Sasa hivi ndio nimeelewa kwanini Waisilamu wanakimbilia Nchi za West kwenda kugonoka mabarabarani kujifanya wanaswali kumbe wanatangaza Buashara😆Toka lini uislam na ushoga vikaenda sambamba, wambie waende nchi za kislam wakalete ushoga wao huo uone kitakacho wapata. Tatizo wapo kwenye nchi za kikristo huko ndio kuna ushoga lazima na wao wawe mashoga .
Wakapelekewe motoSasa hivi ndio nimeelewa kwanini Waisilamu wanakimbilia Nchi za West kwenda kugonoka mabarabarani kujifanya wanaswali kumbe wanatangaza Buashara😆
Achana na picha za FB weww
Mwamba yule mashoga Iran wanaishi kama Nguchiro, wakafanye upumbavu wao huko UzunguniAyatollah ni shoga.
Maayatola wanapigana denda au ni mimi ndio nimeona vibaya?!
Ni kweli ila cha kushangaza kuna WANAFIQ humu wanasema hao si Waislam na Hakuna Muislam Shoga🤣🤣🤣
labda Al-Jazeera ya ManzeseHiyo ipo Al Jazeera