Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.

Attachments

  • Screenshot_2024-10-24-21-30-27-414_org.mozilla.firefox~2.jpg
    130.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-23-14-48-25-101_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
    81 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
    212.6 KB · Views: 3
Uislam ambao umemtaka mwanamke kujistiri,wanaume wawe rijali kwa maana wawaendee wanawake na sio kuwaendea wanaume wenzao au wanawake tofouti na maumbile yao..hicho kitakua kikundi kama vikundi vingine vya hovyo vya kudhalilisha uislam
 
Vipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?
 
Hilo lililoshika bango linafurahia maandamano, lingekuwa lipo kwenye nchi ya kiislam wangemshughulikia
 
HUo ucjafu ni jambo la kawaida sana kwa Waarabu. Tofauti ya Waarabu na wazungu, waarabu hiyo tabia chafu ya kupitia mlango usiofaa, wengi wamekuwa wanawafanyia wanawake, wachache wanawafanyoa hata wanaume; wakati wazungu zaidi wanawafanyia wanaume kwa wanaume.

Lakini huo uchafu, hasa dhidi ya wanawake, ni kawaida sana kwa waarabu. Ndiyo maana hata huku East Afrika, unakuta hizo tabia ni common sana kwa jamii za pwani, ambako ndiko hasa waarabu waliishi sana.
 
Vipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?
Mlevi ni kosa la kawaida la kuomba toba ukasamehewa.
Ila kuna makosa saba ya kuangamiza ikiwezekana kukufuru kabisa.
1)Kuua.
2)Kula mali ya yatima.
3)Zinaa
4)Kukimbia uwanja wa vita ya jihadi.
5Ushirikina.
Mbili nimezisahau nikizikumbuka nitazitaja.
Wizi ni kitendo cha kutubu na kusamehewa.
Unafiki ni kitu ambacho cha kwanza uislam haukipendi.
Ukiwa mnafiki wewe sio muislam moja kwa moja.
Hata Qur'an imeleta surah ya wanafiki ikiwakemea.
 
Uislam ambao umemtaka mwanamke kujistiri,wanaume wawe rijali kwa maana wawaendee wanawake na sio kuwaendea wanaume wenzao au wanawake tofouti na maumbile yao..hicho kitakua kikundi kama vikundi vingine vya hovyo vya kudhalilisha uislam
Mbona Ayatolah anawaendea Maayatola wenzie.
 
Lakini huo uchafu, hasa dhidi ya wanawake, ni kawaida sana kwa waarabu. Ndiyo maana hata huku East Afrika, unakuta hizo tabia ni common sana kwa jamii za pwani, ambako ndiko hasa waarabu waliishi sana.
Kuna Jamaa yangu aliwahi kutembea na Mwanamke aliyeachwa na Mwarabu anasema alikuwa anavuja πŸ˜†πŸ˜
 
M
Mbona magomeni,pemb,unguja,tanga nk. Hamhwapigi mawe mana maeneo hayo mashoja yamejaa mitaani.
 
Uislamu haifuati mtu qnavyotaka,ina sheria zake na kanunui zake.Ukienda kinyume na kanuni zake,na sheria zake,automatiki umeshavukiwa katika uislamu.
Uislamu unazidi kupoteza nguvu,vimebaki vikundi vichache vya kigaidi na magaidi kila siku magaidi yanauwawa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…