Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Wanaandama mpaka muwatambue na kuwakubali ya kuwa ni mashoga wa Kiislamu, mkiwakana watazidi kuandamana.
 
Wanajitekenya ndio maana wanatumia nguvu kubwa kusafisha hayo mambo ila yapo na yatakuwepo. Sasa kuna movement ya Waislamu kula nguruwe. Hiyo wataipinga.
Anaepinga nani tunachopinga ni kwamba hayo yanayofanywa uislamu umeyakataza mimi nikizini haimaanishi uislam umezini au umeruhusu
 
Ila chakushangaza nchi za magharibi zisizotawaliwa na waarabu kwao lgbtq ndio halali
 
Vipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?
Kuna mambo ukifanya yanakutoa kwenye uislam na mengine hayakutoi kwenye uislam ila unapata tu dhambi kwanza uelewe hapa
 
Ila chakushangaza mataifa ya kimagharibi ndio yanatambua lgbtq
 
Huyo ulomtaja ukiambiwa ulete ushahidi kama shoga huna acha kuchafua watu
Huyo ni shoga tangu akiwa mcheza 'shoo' labda kama mjini umekuja juzi, ashawekwa sana kinyumba na trips za Dubai na Oman enzi hizo zilikuwa kama kutoka Sinza kwenda Kariakoo, bora siku anasafiri kwa pesa za mshahara wake.
 
Huyo ni shoga tangu akiwa mcheza 'shoo' labda kama mjini umekuja juzi, ashawekwa sana kinyumba na trips za Dubai na Oman enzi hizo zilikuwa kama kutoka Sinza kwenda Kariakoo, bora siku anasafiri kwa pesa za mshahara wake.
Huna hoja una ushahidi ulimuona wakati anaingiliwa kinyume wewe umekuja mjini zamani ila bado mshamba
 
Walipoandamana kuhusu sharia law, walipongezwa na hamna aliesema hao sio waislam bila kujali wana matendo gani, si ajabu watu haohao tena wameandamana kuhusu ushoga wanawakataa kua hao sio waislam.
 
Vyakula vya UK sio poa

Vinafanya mabadiliko fasta

Acha waolewe tu

Wengi huwa mashoga hata kabla kufika huko, ni ile tu hawaruhusiwi kujitangaza kwenye mataifa yao.
Wewe unafikiria mwanaume kujitekenya mk@undu eti anatawadha kila siku lazima isababishe nyege.
 
Aisee hiyo kaswida ya kukata mauno nilikutana nayo mwananyamala na magomeni... Hatari sana
Nadhani ndio vijana wengi mitaa hiyo ndio maana ni Mashoga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…