Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Kwa sababu ni vigumu kuwatambua Wakristo kwa urahisi.

Lakini hata hivyo hujawahi kuona Wakristo wakisemwa kwa utapeli wa makanisani mfano wakina Mwamposa ?
Takwimu za kimaadili kimikoa hasa kwa wanafunzi zinakataa

Ndoa za utotoni
Mimba za utotoni
Utoro mashuleni
Ukatili wa kijinsia

Mikoa ya pwani na kaskazini mwa Tanzania toa manyara , ipo vizuri zaidi.
 
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
 
Wakiristo wakifanya jambo wanataka tusiwaite kwa dini zao, tuwaite watz, waislam wakifanya jambo wanataka tuwaite waislam . Huu kwa upande wa Wakiristo wanaona ndio uzalendo
Ni wanafki tu.

Wengine wanajifanya atheists kumbe ni wakatoliki.

Kazi kuuponda uislamu tu huku wakiutupia ukristo mara moja moja kuficha ajenda zao za siri.

Halafu walivyo wanafki muislamu akiamua kufuata misingi ya dini yake kikamilifu anaonekana hafai atasemwa na kubezwa akipotoka kama hao watoto pia uislamu utabagazwa.

Both ways uislamu unabagazwa.

Tunawachora tu ma atheist wa uongo kina Yoda
 
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzaliaha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Ww kataa lakini masingo Mather ndo kiwanda cha kuzalisha mitoto yenye tabia mbovu.
 
Kama sio muislam anakuwa KAFIRI
 
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣

Shem wangu kabisa,

Ukweli ni kuwa Malezi ya upande mmoja mara nying yanachangia mmomonyoko wa maadili wa hawa watoto wetu.

Tujitahidi sana. Hata kama analelewa na upande mmoja bas apate Shule nzuri na malezi mazuri.

Ni janga kwa kweli.
 
Takwimu za kimaadili kimikoa hasa kwa wanafunzi zinakataa

Ndoa za utotoni
Mimba za utotoni
Utoro mashuleni
Ukatili wa kijinsia

Mikoa ya pwani na kaskazini mwa Tanzania toa manyara , ipo vizuri zaidi.
Mkuu uzi unahusu tabia za watoto, sio mambo ya ndoa za utotoni ambazo watoto wanauzwa na wazazi wao na ukatili wa jinsia. Hata utoro mashuleni ni jambo la mazingira magumu zaidi kuliko maadili. Mimba za wanafunzi jibu ni rahisi sana, watoto wa Pwani wana exposure kubwa kuliko wa bara katika masuala ya ngono hali inayowafanya kuweza kuzuia kupata mimba na pia kutoa mimba kwa urahisi.
 
Kwenye malezi bibi zetu wapo vizuri usiwahusishe na single mothers
 
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Naongea vitu ambavyo naviona siyo nadharia kama wewe. Wanawake wengi mnajitengeneza kuwa single mothers kwa kushirikiana na mama zenu. Mnatengeneza mazingira ya baba wa watoto kuonekana hawajali watoto.
Kitu ambacho hujabisha ni kwamba watoto wengi machoko na walioshindikana wamelelewa na single mothers au bibi na babu.
 
Mimi sio atheist
 
hakika mkuu. umeiweka vyema sana.
 
Shem wangu kabisa,

Ukweli ni kuwa Malezi ya upande mmoja mara nying yanachangia mmomonyoko wa maadili wa hawa watoto wetu.

Tujitahidi sana. Hata kama analelewa na upande mmoja bas apate Shule nzuri na malezi mazuri.

Ni janga kwa kweli.
Sawa ila kwa kuwa wagunduzi wameshapata conclusion kuwa wanawake wanalea watoto vibaya, tungependa kuona upande wa pili wanafanyaje! Maana unaweza kuta unabishana na vijana hata hawajawahi kuwa na familia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…