Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.
Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?
Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.
Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.