Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.

Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?

Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.

Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.

View attachment 2715064
Kumbe unahasira ya kukosa ng'ombe sitini wa mahari baada ya shemeji yako mtarajiwa kubadili nia ya kumuoa dada yako, pole.
 
Hao wapo happy kuliko wewe civilized hawana stress za mapenzi, Kodi,ada,vicoba,luku,sijui Nini.
Kama haungiliani nao waache walivyo ndio utalii wa ndani
 
Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.

Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?

Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.

Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.

View attachment 2715064
Hao ni wasafi kuliko wewe...Kaangalie ni wangapi wanakufa Kwa magonjwa ya uchafu? Ulishasikia kipindupindu maeneo Yao? Ama hata magonjwa ya zinaa, au UTI?
 
Hao ni wasafi kuliko wewe...Kaiangalie ni wangapi wanakufa Kwa magonjwa ya uchague? Ulishasikia kipindupindu maeneo Yao? Ama hata magonjwa ya zinaa, au UTI?
Kwa sababu wao ngono Sio starehe Bali ni hitaji la asili la kuzaliana tu na Sio burudani
 
Wanaifahamu hiyo starehe kuliko wa mujini, jiulize kwanini wazungu wengi wanawake Kwa wanaume wanapenda kuoa ama kuolewa wamasai? Mie wa pwani huwa najiuliza sana
 
Wanaifahamu hiyo starehe kuliko wa mujini, jiulize kwanini wazungu wengi wanawake Kwa wanaume wanapenda kuona wamasai? Mie wa pwani huwa najiuliza sana
Masaai Wana supersize,pia ni pure species haijaathirika na GMO food
 
Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.

Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?

Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.

Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.

View attachment 2715064
Mbona hata mjini watu hawavai chupi? Ongeza uwezo wako wa tafakuri. Kama wangekuwa, wanatembea uchi, hapo sawa. Lakini ni chupi tu, ya kazi gani? Haifai katika mazingira yao. Wataishia kuchubuka. Umekaririshwa, ukakariri, ukameza.
 
Mleta uzu unawafahamu wamang'ti kweli?
Hakuna mfugaji msafi kama mmng'ati.
Labda kama umewajumuisha kwenye hili kundi Kwa sababu hawavai chupi.
 
Back
Top Bottom