Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Siku ukitekwa ukavulishwa nguo utajua huwa inakazi gani!Sijawahi kuona faida ya kuvaa chupi
Mfugaji hana muda wa kusubiri chupi ikauke, akisubiri ng'ombe wake watamshangaa.Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.
Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?
Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.
Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.
View attachment 2715064
Wewe chupi imekusaidia nini mpaka sasa?Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.
Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake wa hizi jamii wanaishi vipi wakiwa hedhi?
Jamii za wafugaji wamegeuka wanyama wanaishi maisha ambayo ukiambiwa au ukiyaona utaishia kuhuzunika na kulia. Hawana ustaarabu kwenye kula, kuongea.
Hakika Serikali isiangalie bandari tu iwatupie jicho na hawa watu binafsi mimi naona ni Kundi lililopo hatarini.
View attachment 2715064
😃Hadi mapenzi wafundishwe? Kwani hawazaliani?
... hata mbwa wanazaa! Mapenzi ni zaidi ya uzazi.Hadi mapenzi wafundishwe? Kwani hawazaliani?
Kutokuvaa nguo za ndani kunasababisha gari ikitikisika wananuka wengi wananukaUkipanda nao gari kwenye kibini kule mbele kwa dereva gari ikiyumba kwenye mashimo barabarani, nguo zao huacha mwili sehemu za kiunoni na mapajani na kuacha kabati wazi vyombo vinaonekana, chupi hakuna. Wanaume wenyewe wanadai kuvaa chupi mtulinga utabanwa na kuwa mdogo. Wale wengine wanadai joto kali litaumiza nyumba
Mfundishe huyo Akili yake bado ndogo... hata mbwa wanazaa! Mapenzi ni zaidi ya uzazi.
Akili yako bado teketekeWewe chupi imekusaidia nini mpaka sasa?
Akili yako bado teketekeHadi mapenzi wafundishwe? Kwani hawazaliani?
Tukio la kutokea mala moja kwa maisha ndo likupe adhabu ya maisha. Ni sawa na mkulima umfundishe kuvaa life jakert eti ipo siku anaenda kumtembelea ndugu yake mvuvi kisiwani chombo kitazama ajiokoeSiku ukitekwa ukavulishwa nguo utajua huwa inakazi gani!
Nifundishe wewe mwenye akili iliyokomaaAkili yako bado teketeke