Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

Jamii ya wafugaji, ambao Mjini ni wasusi na walinzi (jina kapuni) wengi wananunua makahaba (no strings attached). Hawana muda na hayo mapenzi ya Isidingo
 
Tulivokua wadogo tulikua tunavaa zile chupi zenye zinafanana na rangi ya bendera ya Kenya sema tukienda kunywesha ng'ombe tunaanza kuogelea mda wa kuondoka tunasahau kuvaaa hapo kupata nyngn tegemea rotation ya mnada ipite kijijini kwenu
 
HIZI NI FURASA KAMA FURSA NYINGINE UKIANZISHA KA NGO CHAKO UKAWA UNATOA ELIMU YA KUJITAMBUA KWA HIZI JAMII SI UNATOBOA..
 
Wao wamezoea kula nyama yenye damu, ungekula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…