JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Hapa anahimiza serikali kuliangalia upya suala la katiba mpya

Hapa anaomba dua. Tuitikieni Amen

sishangai, si unajua tafsiri za maeneo yetu yale zipo kinyumenyume...
Mfano, your majesty, I pray thee to....(mtu anaweza fikiri yupo nyumba ya Ibada, kumbe mahakamani).
Mambo ya Legal Language Barchelor (LLB), tehe tehe
 
Yep, sisi wataalamu wa lugha hiyo tunaita linguistic urology and dermatology. Kama sio majungu ya jirani yangu nilitakiwa nikuwe interprator wa UN tangia mwaka 2002.
 
Yupo naile ID yake nyngine!!
alafu wewe Reajao ndhani nawe pambanao lako inaweza kulipa
Ila litakuwa la michezo arsenal Vs chelsea . Hope umeshamjua mpianzani wako

Aluu
 
nimecheka na kufurahi sana kwa comment yako!! Thanks kwa kunianzishia siku kwa tabasamu na kuniongezea sababu ya kuwepo hapa jf
 
Duh, nimesikitika sana upupu kama huu kunipita kwa kiwango hiki

Hivi kweli Consigliere na Rejao mmeshindwa kuniPM nijiunge hapa
Afu mie ningewapambanisha nyie Consi(Village) vs Rejao (born town)
 
labda m25 anataka debate na ff
 
Mwita njoo bhana, huyu Kiranga kiinglishi chake sio fasaha, leta mavitu ya pale kusini mwashariki mwa londoni, Kiranga anaongea hapa nje ya mada, njoo umrudishe mstarini

Labda kashiwa jani linalomuzesha ku flow. Kama una akiba mpatie

khaa!.......hii lugha ni ya dunia hii hii au.........

P Hiyo lugha Inaitwa ubuntu 10.04. teh teh teh kama mambo ya A for apple , B for bee uliyaanzazia darasa la tatu kwa vitabu vya Mr and Mrs Daudi, Neema and baraka Sijui mambo ya mabala the farmer hatuwezi kuyajua haya.
 
Duh, nimesikitika sana upupu kama huu kunipita kwa kiwango hiki

Hivi kweli Consigliere na Rejao mmeshindwa kuniPM nijiunge hapa
Afu mie ningewapambanisha nyie Consi(Village) vs Rejao (born town)
lugha hapa ndio tatizo...labda tuufanye huo mdahalo kwa njia ya PM...but kumwaga ngeli hapa noooooo!!!
 
Mie nina togwa ofisini, wazungu wakinisemesha tu namwambia subiri
Napiga kigudulia changu afu namwambia twende kazi
Rudia swali unataka nini?

Huwa nakuwa kama oxford, hata wewe hapo piga kiroba chako lazima umshinde Consi kwa mabombastic
lugha hapa ndio tatizo...labda tuufanye huo mdahalo kwa njia ya PM...but kumwaga ngeli hapa noooooo!!!
 
Reactions: 3D.
ugha hapa ndio tatizo...labda tuufanye huo mdahalo kwa njia ya PM...but kumwaga ngeli hapa noooooo!!!

Huo Mpambano wenu mnaruhusiwa kuchagua lugha mnayoitaka...ila si kiinglishi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…