Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Poa haina noma....Mimi nipo tayari lakini tushindane kwenye PM, majibu tutawaleteeni hapa.Duh, nimesikitika sana upupu kama huu kunipita kwa kiwango hiki
Hivi kweli Consigliere na Rejao mmeshindwa kuniPM nijiunge hapa
Afu mie ningewapambanisha nyie Consi(Village) vs Rejao (born town)
Mkuu huna dikshenare karibu?Hapa nimetoka kapa!!! duh!!!
Angalia usije ukawa unamzungumzia mtu mmoja.....Pundit,Blueray,kiranga hawa wanafanana sana,wako deep kwenye Quantum Physics,Mama na Kuhani pia wako deep.Kuna uzi mmoja ulikuwa unahusu Electrons aisee Pundit,mama na kuhani walimwaga shule hadi basi
Huo Mpambano wenu mnaruhusiwa kuchagua lugha mnayoitaka...ila si kiinglishi..
Mkuu huna dikshenare karibu?
Poa haina noma....Mimi nipo tayari lakini tushindane kwenye PM, majibu tutawaleteeni hapa.
hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!
Sasa kwani waifu naye ataelewa?
Atadhani katukanwa kiyunani
Gadem!Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Hahahahaha..... kulaaleki.... huyu jamaa anaweza kuwa anamwaga kispaniola hapa.... haiwezekani hata kusoma tu ulimi wangu umegoma.....hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!
Gadem!
Google translator imenambia hapa anazungumzia mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dsm
Dikshenare ya Oxford inanambia ni tafsiri ya wimbo wa Mugabe wa kuombea kura
Mwalimu wangu wa kiinglishi wa sekondari amenambia hii langueji iliyomwagwa hapa haiko kwenye silabasi ya kiinglishi cha sekandari....
Khaa!
Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translateHahahahaha..... kulaaleki.... huyu jamaa anaweza kuwa anamwaga kispaniola hapa.... haiwezekani hata kusoma tu ulimi wangu umegoma.....
Hehehehe! Gaijin amezoea kiinglish cha shule za kata.... kulaaleki hapa labda aje Keren_Happuch au RussianRouletteHuyo speaker gaijin wenyewe kaingia mitini pia. Dah!
Hapo naongelea kama waifu na yeye mkali wa fiziks, halaf hazbendi anaondoka na mapigo ya kanumba
Hahahahah.... khaa! Ntamshtaki kwa Mizengo Pinda..... haiwezekani nipoteze muda kwenye dikshenari kutafuta translation ya majina ya kilatini ya taifa stars ya Vietnam.....tena timu ya wanawake.Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translate
Hehehehe! Gaijin amezoea kiinglish cha shule za kata.... kulaaleki hapa labda aje Keren_Happuch au RussianRoulette
Afu sheria mama za Chi Chat zinatoa adhabu gani kwa mtu anayechafua lugha kwa kiinglish cha namna hii? Yaani mpaka mamodereta wa Chit Chat wameingia mitini....Keren Happuch huyu wa mzee ayubu? hehehee labda aje atupatie viitikio vya kwaya
Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translate
Ha ha ha ha, utajibeba
Hadi utumie syntax na phonology
Wenzio wanatumia quantum mechanics, heat and light
Aisee fellow tablet mi naona tuhamie MMU, hapa naona watu wameshaingia mitini kwa hii debate yetu hapa.....ngoja nikamuamshe Mbu na MwanajamiiOne watuaznishie sredi ya heri ya Christmas na hepi nyuu yia. (angalizo nyuu yia = mwaka ujao kwa mujibu wa kimombo cha awamu ya kwanza)hehehe hebu tukumbushie na akmidiz prnsipo