JamiiForums game of the year

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
b52 naomba kusuply tangawizi ili sauti zisikauke! mbona hujawaweka mababu hata mmoja, sasa sauti ya 4 ataimba nani!
 
Halafu kwaya ili iwe unique kama hii,midume waimbe sauti ya kwanza na ya pili,na mabinti waimbe ya tatu na ya nne.. kazi kwa mwalimu Konnie..
 
Halafu kwaya ili iwe unique kama hii,midume waimbe sauti ya kwanza na ya pili,na mabinti waimbe ya tatu na ya nne.. kazi kwa mwalimu Konnie..
Konnie hawezi kufundisha, yeye aimbe sauti ya pili...
Mimi nitakuwa mpiga kinanda...
 
Konnie hawezi kufundisha, yeye aimbe sauti ya pili...
Mimi nitakuwa mpiga kinanda...
kinanda utakipiga weye? usitake wasikilizaji waanguke chini kwa kicheko maana waimbaji nao!
 
Konnie hawezi kufundisha, yeye aimbe sauti ya pili...
Mimi nitakuwa mpiga kinanda...

Kinananda kinatakiwa kupigwa kwa kutumia nanii ikiwa wima lol kitalia vizuri
 
b52 naomba kusuply tangawizi ili sauti zisikauke! mbona hujawaweka mababu hata mmoja, sasa sauti ya 4 ataimba nani!

Nani kakuambia cacico kuwa sauti ya nne wanaimba mababu tu? Imekula kwenu Mzee Cacico
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…