Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Kifikra wananchi wanaanza kuwa juu sana hope hata wananchi wa humu wote wako sawa na ndio wanaotakiwa kuliongoza kurudumu la kuelekea kuimba wimbo huo....! wazee wa game of the year BAGAH .. YNNAH .. Remmy . Nzi . Ennie . charminglady .. Katavi .. Madame B . Raia Fulani . Kijino .. Cantalisia . Kongosho .. Nish wote nawakaribisha kufanya maandalizi ya siku hiyo ya kuimbaUbeti wa mwisho utaimbwa siku wananchi watakapokuwa huru kifikra.
Last edited by a moderator: