JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

vibaya mno ukifika kwny hili game ukajikuta huna cha kuendeleza game, mwishowe unatoka nje ya mada kabisaaa. . . .
 
vibaya mno ukifika kwny hili game ukajikuta huna cha kuendeleza game, mwishowe unatoka nje ya mada kabisaaa. . . .
Kabisaaa! Yani kabisaaaa we charminglady ndo mchakachuaji orijino. Unafanya game lionekane gumu kama gemu la kwenye sita kwa sita.
 
Last edited by a moderator:
sita kwa sita waijua weye? mbona km umri umekuacha babu Asprin? me cjachakachua game huenda umezeeka hadi macho yako yamepoteza uwezo wa kuona. hebu angalia kwa mara nyngne utamgundua aliyechakachua. . . .
 
Last edited by a moderator:
Sita ni spika mstaafu, walimchakachua eti wakampa uwaziri wa africa mashariki.
 
nchi ngapi? kwani hujui haya ngoja nianze kutaja moja nyngne watamalizia wadau. Tanzania
 
Palepale wapi....!!
Tangu haya mambo ya social network kuingia nchini ufanisi wa kazi umepungua.

umepungua sana, wkt mwingne unashndwa kufikiria vitu vya maana unafikia tu jf. yan me wakat mwngne najichukia nlivo addicted na jf cjui nifanyeje kuepukana na hii hali. . .
 
Back
Top Bottom