Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
me and you, who do you think gonna win this game?
Game of what nothing like winner here we are just refreshing.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me and you, who do you think gonna win this game?
Game of what nothing like winner here we are just refreshing.
Refreshing maana yake kumbe ''nimeshindwa?''
Hongera kwa kusalimu Amri na kujitoa Mwanakwetu
Letu lile ngoja tumuwashie moto huenda kahongwa.Mwanakwetu asiyekubali kushindwa si mshindanii hata baba ninii kasalimu amri kwa mama lao kuwa ziwa sio letu.
Kahongwa vipi, nina wasiwasi alikenuliwa kidogo tu basi kila skrubu za akili zikaachia, si mnajua alivyo dhaifu anapokutana na ze opposite sex
Sex hata kama ni kijeba kinamchanganya tu.
tu....tupendane kwelii
kwelii...nimeitikia kwa sauti kubwa sana!
Husomeki ka ktabu kilchoungua
MMU ndo nin?
Saleh kabadilisha jina, kasema msimwite teana hivyo. Hapendi!!
hapendi nini wakati hilo ndio jina lake tangu utotoni?
Utotoni alikuwa hana uhuru wa kuamua,
lakini sasa amekuwa anaruhusiwa kubadili jina.
jina ni jina ilimradi ukiitwa ugeuke.
Ugeuke je, tena wanasema jina linakuwa na mtoto,
wakikiuta kiokote au Prete lazima utakuwa nalo.
nalo likikomaa na kuota mizizi lazima utaitika au huniamini?