JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Refreshing maana yake kumbe ''nimeshindwa?''
Hongera kwa kusalimu Amri na kujitoa Mwanakwetu

Mwanakwetu asiyekubali kushindwa si mshindanii hata baba ninii kasalimu amri kwa mama lao kuwa ziwa sio letu.
 
Kahongwa vipi, nina wasiwasi alikenuliwa kidogo tu basi kila skrubu za akili zikaachia, si mnajua alivyo dhaifu anapokutana na ze opposite sex
 
Kahongwa vipi, nina wasiwasi alikenuliwa kidogo tu basi kila skrubu za akili zikaachia, si mnajua alivyo dhaifu anapokutana na ze opposite sex

Sex hata kama ni kijeba kinamchanganya tu.
 
Saleh kabadilisha jina, kasema msimwite teana hivyo. Hapendi!!
 
nalo likikomaa na kuota mizizi lazima utaitika au huniamini?

aah nisiamini vipi sasa wakati mifano ipo kibao, hata hilo la kwako si lilianza hivyo hivyo limeota mizizi na kukomaa mpaka umelikubali siku hizi unaitika tu ..
 
Back
Top Bottom