JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

Mnavutia,mnajua kuvaa, shape mnazo na hakuna mwenye komwe!.

Mmebarikiwa mno!, mna mioyo mizuri kiufupi mmetaradadi!.

Nawapenda sana wadada wa jamiiforum mbarikiwe maradufu.

Enjoy
View attachment 3195978
Wewe ndezi hakuna Kijiji Wala ukoo unaoitwa Jamii forum. Jamii forum ndio Hawa Hawa waliopo twitter, Instagram, telegram ,club house nk. Na sii kwamba yupo special hapa dakoka Moja yupo hapa dakika Moja yupo kule huku anajiifanya sister Kila anajiifanya changu, ni mkusanyiko wa maskini matajiri , wanafunzi waalimu,wachungaji ,mashehe, wazazi na watoto, machangu na majizi asilimia kubwa wakiwa na Id nyingi zenye majina fake . Na Kila Moja ana character tofauti. Unaweza kukuta huyu unayemsifia ni demu mzuri akawa dada yako au mzazi wako maana mnaweza kuwa familia Moja Kila mmoja yupo kwa Siri na I'd fake na utambulisho wake na michango yake ni tofauti na unavyomuona
 
Back
Top Bottom