Wapo wengi tu ila wamejificha kama wewe ulivyojificha. Sema ujitahidi kuficha kipapa, maana vijana ukiwaachia tu wanakichapa bila huruma๐Yeah! Ni kweli mkuu, lakini mtaani kwetu hakuna anaetumia JF๐
๐๐nani anataka kuja kuanzishiwa thread humu, siwezi kuthubutu kudate na kijana wa JeiefuWapo wengi tu ila wamejificha kama wewe ulivyojificha. Sema ujitahidi kuficha kipapa, maana vijana ukiwaachia tu wanakichapa bila huruma๐
Toa mfanoNaomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
Sijakariri ID zao nikikumbuka ntakutajiaToa mfano
Unazingua!๐๐nani anataka kuja kuanzishiwa thread humu, siwezi kuthubutu kudate na kijana wa Jeiefu
Bila shaka ni bwashee huyo.Mimi kuna member mpk kwangu anapajua so yah....maisha hayahitaji complications sana....
Vp una mpango wa kufa mapema namna hii auโNaomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
Ninauliza tu mkuu, kwani kuna ubaya?Vp una mpango wa kufa mapema namna hii au
Nazingua nini sasa mkuu?Unazingua!
Twandikie tu ,ili tusipate shido (bambo)๐๐๐Ninauliza tu nijue
Siku nikilewa ntawaandikia๐๐Twandikie tu ,ili tusipate shido (bambo)๐๐๐
Kwa nini huwataki magentomen wa jf, wana tofauti gani na wa kanisani kwako au mtaani?Nazingua nini sasa mkuu?
Sisi tunaangaika na hichi kirusi cha ccm wewe uko Bize na uzi wa vifo tu.....Ninauliza tu mkuu, kwani kuna ubaya?
Labda wa humu wana vibamia na ni wale wa chips yai.........Kwa nini huwataki magentomen wa jf, wana tofauti gani na wa kanisani kwako au mtaani?
Hongereni kila la kheriSisi tunaangaika na hichi kirusi cha ccm wewe uko Bize na uzi wa vifo tu.....
Kuna umuhimu wa kufahamiana na baadhi ya members waaminifuKwa ambao hatujuani wala kujulikana sidhani mi nikikata kamba najua ni kimya kimya
Wa humu wakipewa wanakuja kuanzisha thread ๐๐Kwa nini huwataki magentomen wa jf, wana tofauti gani na wa kanisani kwako au mtaani?
Hao wachache wajinga wasikutishe, wengi wala hawana hiyo tabia.Wa humu wakipewa wanakuja kuanzisha thread ๐๐
What a ........,.?Labda wa humu wana vibamia na ni wale wa chips yai.........