Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Madame B, Joseverest ni mfano tuMngetafuta namna watu wanaotumia nick names waweze kuwa verified .
Maana hiyo requirement ya ID itawazuia watu wengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame B, Joseverest ni mfano tuMngetafuta namna watu wanaotumia nick names waweze kuwa verified .
Maana hiyo requirement ya ID itawazuia watu wengi sana.
Naam, badili jina mwenyewe kupitia hii link: https://www.jamiiforums.com/account/account-detailsnilikosea kuandika jina kipindi najisajili.
je kuna uwezekano wa kurekebisha jina?
naomba kuelekezwa
Mkuu tuache mchezo mchezo kwenye uzi wa bosi wetu.Bora niko verified ss
Ndiyo umma unatambua mchango wako chanyaasante.....kuna faida zozote ukiwa verified?
Taja tano mkuukuna faida nyingi sana ukiwa verified kuliko kujificha.
Yeah. Unaweza kupata ma endorsement kama Baba Levo 😂😂😂asante.....kuna faida zozote ukiwa verified?
Senior ni Mdogo kwa ExpertVerified member
Senior member...
jina nnalotumia huku ni magumashi...UMMA upi mkuu?...Ndiyo umma unatambua mchango wako chanya
kuna faida nyingi sana ukiwa verified kuliko kujificha.
Naam, badili jina mwenyewe kupitia hii link: https://www.jamiiforums.com/account/account-details
Hawa wanamiliki ID za hayo majina ?Madame B, Joseverest ni mfano tu
Bujibuji is a verified userHawa wanamiliki ID za hayo majina ?