kwa maoni yanguKama zipi, kuna mijadala huwezi kuchangia.
1.kila mtu atajiheshimu zaidi na atawaheshimu wenzake.
2. itapunguza ban kwa sababu kila mmoja ataepuka kutumia lugha zisizo faa.
3. tutafahamiana zaidi.
4. tutaaminiana zaidi ktk kupeana michongo/fursa.
n.k
kabla hujachangia mjadala wowote naamini kila mtu atajitafakari kwanza kama anaweza kuchangia kuliko ilivyo sasa kila mmoja anakurupuka tu!
sio lazima kila mjadala kila mtu achangie, unaweza ukafuatilia tu na ukapata faida na ikakusaidia sana.