Mkuu hii imekaa poa sana inahamasisha kwakweli,
Badge ipo vizuri na inachota attention chap kwa haraka 👍🏾, Ila inahitaji maboresho zaidi ili kuwa na muonekano unaovutia zaidi (good visual impression) kwa watumiaji wa JF, user experience yeah lazima watumiaji tulizike.
Kama baadhi ya wadau wanavyotaka maboresho... binafsi napendekeza kama inawezakana badge iwe na edge yenye angles mithili ya tbs label. Ama iwe na shape ya nyota itakayo ambatana na namba, mfano 5⭐️, ...
(hapa hizi namba ni rating ambazo atakuwa anapewa member wa JF kwa kupima uzito na mchango wa maudhui anayokua anaweka humu).
Maoni yangu tu hayo wadau.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽