JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Ahsante sana, Mimi ninataka kuunganisha akaunti Je inawezekana? Akaunti ya awali sikumbuki password na email niliyotumia zamani ni ya ofisi na nilishahama na sina access ya hiyo email na password yake.
 
Inaitwaje kwa jina moja?
Sherehe ya kumuaga bi harusi inaitwa send off.
Sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa birthday
Sasa hii ya kuwa verified inaitwaje kwa kimombo?
Verification party
 
Mkuu, Je ni lazima awe ni mtu mnaefahamiana nae ? Vipi kama mtu hamfahamiani nae, account yake ina maudhui chanya na hashushi hadhi ya Badge, Je mtamverify ? Akiomba request
Hapo naona ukiachana na wale wanao tumia majina halisi, kuwa verified kwa jina jingine ni mpaka wajiridhishe na mhusika kwa kufuatilia nyuzi zake na michango yake pamoja na kujulika majukwaani.
Hayo ni maoni yangu.
 
Hapo naona ukiachana na wale wanao tumia majina halisi, kuwa verified kwa jina jingine ni mpaka wajiridhishe na mhusika kwa kufuatilia nyuzi zake na michango yake pamoja na kujulika majukwaani.
Hayo ni maoni yangu.
Ok sawa Mkuu
 
Niko nilipo nipo sawa kabsaaaa
Verify verification etc no comment
Uhuru wa habari bongo bado sana
Tunaishi kama digidigi
Mods ni watu sio robot so mmmh twende hivi hivi

PRIVACY PRIVACY bongo bado sanaaa
Kwani inbox zina usumbufu

Hiki kiverification symbol kina usumbufu jaribuni kuboresha
 
[emoji1752][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1548][emoji1548]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mkuu za uzima
Naomba nichangie kidogo
Wengine wetu 'matusi ni mwiko' imani na makuzi yanatuongoza
Kutokuwa verified sio woga wa lugha tunazotumia humu ni Uhuru wa habari bongo bado sana.

I don't see why kuwa verified
Whistleblowers watakuwa salama kweli?! thou JF imekuwa iijiwe cha kupiga stori sio kama zamani so sioni ulazima wa kufanya hili...
Kama mie email niliyotumia sikumbuki password so nipo nipo tu
Kama hawatafurusha vile hatujawa verified basi pouwa tu lakini otherwise tumo tutaendelea kuwepo..
hii verification thing seems fullu doubt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…