Na mapambo wamechukua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kwahiyo ulikuwa unajipambia ndani kwako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23],duuh hatar sana aiseeh hao michepuko wezi sio watu wazuriHaya majanga jirani wa pekee ndie utaweza nisaidia.
Sijaamini kabisa wameiba hadi mapambo wanaacha vijiko tena vya plastic hawa hawana huruma kabisa
Aiseeh wanataka uje kudhalilishwa jf na mpenzi mpya utakayempata sidhani kama ataweza kuvumilia hiyo habari ya kinywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wametia shida si kutulizana.
Kama shida ndio kutulia jirani heri nisitulie. Hadi mswaki wameiba hivi walikusudia nini jirani[emoji23] [emoji23]
Nitapoa nahisi hadi nikimuona[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooh pole sana jamani
Jirani hawa itakuwa walipanga kwa kweli kesho asubuhi uje hapa uone jirani yako nyumba ilivyobaki utadhani pango la kale. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeh wanataka uje kudhalilishwa jf na mpenzi mpya utakayempata sidhani kama ataweza kuvumilia hiyo habari ya kinywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie banah sitaki kucheka usiku huu
Ntakuja kukuona jirani yangu, pole sana jamani ila uache michepuko sasa na wewe utulie utanichosha mke wa mwenzioJirani hawa itakuwa walipanga kwa kweli kesho asubuhi uje hapa uone jirani yako nyumba ilivyobaki utadhani pango la kale. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole mkuu, umesahau kanuni moja ya mchepukaji "KAMWE USIUPELEKE MCHEPUKO UNAPOISHI"Mchepuko imeniibia kila kitu wameniachia vijiko tu sijui keshk nitapikaje jirani
Jirani sijaamini tena si nilikuwa natafuta taulo nikaoge kumbe nalo wamekimbia nalo jirani hii si nyumba ni pango limebaki kuwa na popo tu nikimchua inna ndio comfirmed pango la kale heri asitokee tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Manga I miss you
Wameacha niachia charger tu jiranj nimebaki kuta zinanichekea tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntakuja kukuona jirani yangu, pole sana jamani ila uache michepuko sasa na wewe utulie utanichosha mke wa mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani sijaamini tena si nilikuwa natafuta taulo nikaoge kumbe nalo wamekimbia nalo jirani hii si nyumba ni pango limebaki kuwa na popo tu nikimchua inna ndio comfirmed pango la kale heri asitokee tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole mkuu, umesahau kanuni moja ya mchepukaji "KAMWE USIUPELEKE MCHEPUKO UNAPOISHI"
Ohoooh kushauri kidume aache mchepuko ni sawa na kumwambia mtu ajitahidi asinywe Maji, sana sana atabadili mbinu za uchepukaji, we mshauri tu aangalie maji anayokunywa angalau yawe safi au salama au vyote, [emoji12] [emoji85] [emoji40][emoji125] [emoji125]Ntakuja kukuona jirani yangu, pole sana jamani ila uache michepuko sasa na wewe utulie utanichosha mke wa mwenzio
Jirani nije kuchukua kikombe ninywe maji maana hata vikombe kama unavyojua mwenzio nakiua hapa jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana na hali yako jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooh kushauri kidume aache mchepuko ni sawa na kumwambia mtu ajitahidi asinywe Maji, sana sana atabadili mbinu za uchepukaji, we mshauri tu aangalie maji anayokunywa angalau yawe safi au salama au vyote, [emoji12] [emoji85] [emoji40][emoji125] [emoji125]
Nenda tuu home kachukue chochote unachohitaji utamkuta shemeji yako, mie nipo kikazi kigoma.Jirani nije kuchukua kikombe ninywe maji maana hata vikombe kama unavyojua mwenzio nakiua hapa jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umenena mkuu, maadam ni mtu mzima mwenzetu basi atachagua mbivu na mbichi asituchoshe siye [emoji6]
Mie sina neno yeye aende tuu atapewa na shemej yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mhurumie jirani yako, siunajua jirani hanyimwi dawa ya jiko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani nije kuchukua kikombe ninywe maji maana hata vikombe kama unavyojua mwenzio nakiua hapa jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dirty Head kikombe cha maji usiku huu, hapa naona unataka kusababisha kesi sio bure[emoji40] ila mkuu ukienda nishtue nikusindize na mimi nipajue kwa jirani yako[emoji12] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie sina neno yeye aende tuu atapewa na shemej yake